Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sema sie waafrika kwa kukariri tuko vizuri
 
Yaan hili suala la hormonal imbalances, kila mtu anashindwa kutolea ufafanuzi, sio upande wa masuala ya Afya wala uhusiano wa kijamii.

Kiufupii ni wanakimbia kulizungumzia, mie hapo nime uliza swali rahisi kabisa na lina eleweka, eti unasema huwezi kujibu kwa kuwa hujui ni angle gan, bas nakupa ruksa jibu kwa angle yoyote ambayo wee unaona unaweza kujibu.

Nasubiri Jibu.
 
Wanasheria na mawakili mkuje mtoe fafanuzi za kina huku. Watu wanataka wapate uelewa na ufahamu wa mambo.
 
Kutumia nguvu nyingi za kinafiki kupinga hii kitu haya ndo madhara yake.
Watachukuliwa na mataifa ya nje huku wakiendelea kupeperusha bendera ya Tanzania.
Tena ni unafiki haswaaa Dear.
 
Aaaaah ila basi wacha nikae kimyaa tyuuh.
 
Siwezi kupromote huo upumbavu Mkuu,
Hiyo sehemu itakuwa ununio nilikuwa nasearch sehemu huko nikaona hiyo sehemu ndio nikaamua kuiserch yenyewe.
Mimi ni mconservative hayo maupumbavu siyafagilii kabisa
Umekamatwaa n uongo wakooo,.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafiki unawaumbuaa, lol
 
Leo nimeona nije niandike gazeti langu huku 😂 niongee ninachokiamini....

Nimejaribu sana kutafuta visababishi vya ushoga, kusema kweli sijavipata, maelezo hayapo. Nimefuatilia nchi zilizoendelea wanatumia basis gani kuteteea ushoga, wanadai kwamba 'watu wazima wana haki ya kufanya chochote kwenye usiri, ikiwa wamekubaliana'.... Lakini kuna kitu nimegundua.....

Mashoga wanajua kabisa kwamba wanachokifanya kinaweza kupelekea kutengwa na hata kuuawa, lakini wanakifanya. Na pia ushoga umekuepo kwa miaka mingi sana kabla hata ya sayansi na teknolojia.... Mimi naona kuna kitu bado hatukifahamu, na tukikifahamu tutapata uvumbuzi kwamba ushoga ni sahihi, au sio.... kwa sasa huu mjadala hauna mwisho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…