Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Yaan wabongo bila kuwasakama mashoga, hawana amani wala hawajisikii poa.
Hao mashoga wanawazuia nn kufanya mambo yenu binafsi? Au mnawaonea wivuu??

Hebu muwapumzishee kwani bhanaa khaaaah.
Kila mtu ana uhuru wa kutumia mwili wake atakavyoo. Lol
 
Yaan wabongo bila kuwasakama mashoga, hawana amani wala hawajisikii poa.
Hao mashoga wanawazuia nn kufanya mambo yenu binafsi? Au mnawaonea wivuu??

Hebu muwapumzishee kwani bhanaa khaaaah.
Kila mtu ana uhuru wa kutumia mwili wake
Nyinyi ndo mashoga zenu hawa watu na mnawapenda Sana hata sielewag kwann au kwann au wanakusaidieni kipind cha kusagana
 
Mashoga ni mashoga tu hatakama wanawake wakiamua kuwatenga watabaki hivyohivyo.... Unajisumbua
Kabsa sema hawa dada zetu wapo karibu nao sana yan, mm kuna mmoja alikua anakopesha sabuni alikua ananiogopa balaa nilimtoleaga panga mbele za watu maskani bas ilikua nikikutana nacho tu nikiambia aya leta buku 2 chap aping anatoea hapohapo usela raha
 
Ushoga ni matokeo ya shida ya akili. Mwanaume Smart hawezi kuwa shoga
Hili nilishaliandika muda mrefu, lkn kuna MASHOGA wa aina nyingi.

1- shoga aliyeanzishwa ushoga sababu ya kukosa ulinzi wa jamii akiwa mdogo. Ameingiliwa na wajomba, baba wadogo, kaka , baba wa kambo nk.

Mwisho wa siku lawama zote anakuja kulaumiwa tayari akiwa kijana HANDSOME. labda akiwa sekondari au kidato cha sita , pengine chuo kikuu au kwenye AJIRA.

Huku yule MWARIBIFU akionekana shujaa, mwenye kukemea vitendo hivyo na KUHESHIMIKA kwa jamii akipewa madaraka makubwa kisha kukutana tena na yule kijana aliyeMUHARIBU wakaendeleza UCHAFU.

2- HAWA ndo lile eneo la kuendekeza tamaa, kwa kuingia mjini kwa pupa, kushindwa kujiongoza na kukutana na WAZOEFU wa UHARIBIFU ambao hata JAMII haiwagusi kutokana na UHESHIMIWA wao.

SHUTUMA zooooote zinaelekezwa kwa watoa PETE, lkn wenye VIDOLE Hawa guswi. TUKUSANYE mashoga wote. WAULIZWE walianzaje, huo MCHEZO nakuhakikishia kwanza zoezi LITAPIGWA VITA USHANGAE.

MAana ni kuumbuka kwa watu ambao WANAKAA viti vya mbele kama WAHESHIMIWA kumbe ni VIDOLE VIVAA PETE na VIHARIBIFU.
 
Nyie ndo mnaofanya nao wajione wanawake lakn ss weng tunawatumia kwa mashart ya mganga wa jadi
Sasa wakitoweka hayo masharti ya waganga wenu mtatimiza vipiii? Afu sio wotee wanafanyaa hivyo kisa ushirikina, wengine ni hisia zao kabisaaa.
 
Ulikua humpendi ila buku 2 zake ulikua unachukuaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikii ndo unawasumbuaa khaaaah
 
Umeandika ukweli mtupuuuu.
Case [emoji735]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…