Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Ulimwengu unandaliwa kuamini kuwa LGBTQAI+
ni sawa, hakuna tatizo

ni sawa, hakuna tatizo. Hata hivyo Neno la Mungu kimsingi linasema hapana, tabia hizo ni mbaya, na ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu.
Katika Warumi 1:19-28 tunasoma mistari ifuatayo, ambayo inaonyesha wazi kwamba ushoga na usagaji ni chukizo kwa Mungu.
Warumi 1:19-28
19 Kwa maana mambo ya Mungu yanayojulikana ni dhahiri ndani yao; kwa maana Mungu amewadhihirishia.
20 Kwa maana mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake, yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; ili wasiwe na udhuru.
21 Kwa maana, walipomjua Mungu, hawakumtukuza kama ndiye Mungu, wala hawakumshukuru; bali walipotea katika fikira zao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wapumbavu,
23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na vitambaavyo.
24 Kwa hiyo Mungu aliwaacha wafuate uchafu kwa kuzifuata tamaa za mioyo yao, hata wakavunjiana heshima miili yao wenyewe kati yao wenyewe.
25 ambao waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakiabudu na kukitumikia kiumbe kuliko Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Kwa sababu hiyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, kwa maana hata wanawake wao walibadili matumizi ya asili kuwa yasiyo ya asili.
27 Vivyo hivyo wanaume nao waliacha matumizi ya asili ya mwanamke, wakawakiana tamaa wao kwa wao; wanaume wafanyao mambo machafu, wakajipatia nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo sawasawa.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Katika ukaidi wa wazi kwa amri ya Mungu, kulikuwa na wiki nzima ya sherehe za Mashoga katika Ikulu ya Marekani, kuonyesha kwamba Amerika katika ngazi za juu ya juu kabisa ya serikali, inaidhinisha ushoga, na niseme LBGTQIA+ kwa ujumla. Sasa kwa nini tukizingatia haya yote ghafla inakuwa kosa kuweka bandiko humu JF kuhusu ushoga wa familia ya Obama? Inasumbua akili yangu.
Kumekuwa na uvumi kwa muda mrefu kuwa familia ya Obama ni ya watu waliobadili jinsia zao na ni mashoga, lakini sasa kuna ushahidi thabiti kwamba ni kweli. Tazama hapaπ
View: https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1699142858844864846?s=20
Inashangaza kwamba familia ya Obama imekuwa ikipinga ukweli huu ulio wazi, huku ikihalalisha tabia hiyo mbaya kwa wengine. Inashangaza pia kwamba JF imefuta bandiko nililoweka kuhusu kashfa ya familia ya Obama ya ushoga, huku familia hiyo ikihalalisha tabia hiyo mbaya kwa wengine na pia ikipigiwa chapuo katika ngazi za juu kabisa za serikali yao.
Je, hii inaniambia nini? Inaniambia kwamba yule mtu wa ndani wa mwanadamu anajua kwamba tabia hiyo si sahihi, lakini kuna nguvu iliyofichwa nyuma ya pazia ambayo inalazimisha ajenda hiyo kwa wanadamu, na nguvu hiyo ni Ibilisi mwenyewe.
Lazima wote Kama Wanadamu tuseme hapana kwa Shetani, tuache unafiki, undumi la kuwili na shetani hatakuwa na nafasi katika maisha yetu.