Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
JamaniTangaaa...nyumba mganga nyumba shoga...
Mdada hujambo?Jamani
Sijambo, habari yako?Mdada hujambo?
Kwishaaaa kbsaKama Mwakinyo yuko vile na ni bondia, je hao walio mtaani ni hasara tupu
Njema kabisa! Imebidi nikusalimu! Mganga alinipa huu utaratibu jana[emoji23][emoji23][emoji23]Sijambo, habari yako?
HahahaaNjema kabisa! Imebidi nikusalimu! Mganga alinipa huu utaratibu jana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimweleza kuwa nahitaji mwanamke humu jf, akanipa dawa ya kunuia....akanipa mkakati kwamba mdada atayeitikia salamu yangu ndo huyo huyo na hawezi kuchomoa[emoji123][emoji1374]Hahahaa
Mganga wa nini tena?
πππ dahNilimweleza kuwa nahitaji mwanamke humu jf, akanipa dawa ya kunuia....akanipa mkakati kwamba mdada atayeitikia salamu yangu ndo huyo huyo na hawezi kuchomoa[emoji123][emoji1374]
[emoji1]
Hahaha! Natania tu aisee[emoji1374][emoji23][emoji23][emoji23] dah
All the best kwenye mambo yako na mganga wako.
Yaani mkuu umeniwai tu ,huyo ni mwalimu kabisaMwakinyo
Arusha ipo kama haipo kumbe ipo.Tanga ipi hiyo, mbona ninachoona binafsi sioni tofauti na mikoa kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam?
Ninaifahamu Tanga na maeneo yake vizuri na ninaifahamu mikoa yoote hapa Tanzania.
Ushoga upo sana kwenye hii mikoa kuliko hata hiyo Tanga tunayoisema, Mwanza, Arusha na Dar ushoga ni mwingi kuliko hata hiyo Tanga.
Kuna vitu watu hawajui, wapo wanaume wana pigo za kike mfano hereni, kujikoboa, kusuka kuvaa za kubana nguo, na vikaptula, wapaka bleach, saloon zao za kike, kucha wamepaka rangi, lips shine wanazo, vilapa vya kike na mikoba wanabeba ya kike... lakini licha ya kuwa hivo hawataki kuguswa na wanaume wenzao, wao raha yao wawe kama wadada π π π π kama ulikuwa hujui ndio nakujuza leo.Ushoga umekuwa uki trend sana siku za hivi karibuni. Niseme ukweli tu wengine hatujawahi kuwaona wanaume hao wanaojihusisha na ushoga wakoje, wananafananaje na wanaume wenzao wasiojihusisha na tabia hiyo. Ina maana hao wanaume hawaoni aibu kufanywa kama wanawake, na je wana sehemu za kiume zinazofanya kazi au hizo sehemu za kiume ni mbovu na ndiyo wakajigeuza kuwa kama wanawake?
Duuuh sasa kwann avae hizo pigo za kidada.... Bora tuu wabaki kawaid....Kuna vitu watu hawajui, wapo wanaume wana pigo za kike mfano hereni, kujikoboa, kusuka kuvaa za kubana nguo, na vikaptula, wapaka bleach, saloon zao za kike, kucha wamepaka rangi, lips shine wanazo, vilapa vya kike na mikoba wanabeba ya kike... lakini licha ya kuwa hivo hawataki kuguswa na wanaume wenzao, wao raha yao wawe kama wadada [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama ulikuwa hujui ndio nakujuza leo.
Ni mafala sana mkuu.Duuuh sasa kwann avae hizo pigo za kidada.... Bora tuu wabaki kawaid....
Mimi vikaptula navaa.... Ila wachache ndo wanaharibu ubingwa wa uanaume