Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ushoga umekuwa uki trend sana siku za hivi karibuni. Niseme ukweli tu wengine hatujawahi kuwaona wanaume hao wanaojihusisha na ushoga wakoje, wananafananaje na wanaume wenzao wasiojihusisha na tabia hiyo. Ina maana hao wanaume hawaoni aibu kufanywa kama wanawake, na je wana sehemu za kiume zinazofanya kazi au hizo sehemu za kiume ni mbovu na ndiyo wakajigeuza kuwa kama wanawake?
 
Dahh! Kazi sana...tatizo wanaowapakua ni wanaume kama sisi, hii ni shida sana.

Vijana kupenda starehe ( pombe, misosi mizuri, nguo ghali, na maeneo ghali) huku hawana vipato kunawapelekea kuwa mashoga.

Vijana chakalikeni acheni haraka na tamaa!
 
Hahahaa
Mganga wa nini tena?
Nilimweleza kuwa nahitaji mwanamke humu jf, akanipa dawa ya kunuia....akanipa mkakati kwamba mdada atayeitikia salamu yangu ndo huyo huyo na hawezi kuchomoa[emoji123][emoji1374]

[emoji1]
 
Nilimweleza kuwa nahitaji mwanamke humu jf, akanipa dawa ya kunuia....akanipa mkakati kwamba mdada atayeitikia salamu yangu ndo huyo huyo na hawezi kuchomoa[emoji123][emoji1374]

[emoji1]
😂😂😂 dah
All the best kwenye mambo yako na mganga wako.
 
Naona kuna watu wanalipwa kupush ajenda humu na huko x kila siku mada hizi hizi smh
 
Tanga ipi hiyo, mbona ninachoona binafsi sioni tofauti na mikoa kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam?

Ninaifahamu Tanga na maeneo yake vizuri na ninaifahamu mikoa yoote hapa Tanzania.

Ushoga upo sana kwenye hii mikoa kuliko hata hiyo Tanga tunayoisema, Mwanza, Arusha na Dar ushoga ni mwingi kuliko hata hiyo Tanga.
 
Arusha ipo kama haipo kumbe ipo.
 
Ushoga umekuwa uki trend sana siku za hivi karibuni. Niseme ukweli tu wengine hatujawahi kuwaona wanaume hao wanaojihusisha na ushoga wakoje, wananafananaje na wanaume wenzao wasiojihusisha na tabia hiyo. Ina maana hao wanaume hawaoni aibu kufanywa kama wanawake, na je wana sehemu za kiume zinazofanya kazi au hizo sehemu za kiume ni mbovu na ndiyo wakajigeuza kuwa kama wanawake?
Kuna vitu watu hawajui, wapo wanaume wana pigo za kike mfano hereni, kujikoboa, kusuka kuvaa za kubana nguo, na vikaptula, wapaka bleach, saloon zao za kike, kucha wamepaka rangi, lips shine wanazo, vilapa vya kike na mikoba wanabeba ya kike... lakini licha ya kuwa hivo hawataki kuguswa na wanaume wenzao, wao raha yao wawe kama wadada 😅😅😅😅 kama ulikuwa hujui ndio nakujuza leo.
 
Kuna vitu watu hawajui, wapo wanaume wana pigo za kike mfano hereni, kujikoboa, kusuka kuvaa za kubana nguo, na vikaptula, wapaka bleach, saloon zao za kike, kucha wamepaka rangi, lips shine wanazo, vilapa vya kike na mikoba wanabeba ya kike... lakini licha ya kuwa hivo hawataki kuguswa na wanaume wenzao, wao raha yao wawe kama wadada [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama ulikuwa hujui ndio nakujuza leo.
Duuuh sasa kwann avae hizo pigo za kidada.... Bora tuu wabaki kawaid....

Mimi vikaptula navaa.... Ila wachache ndo wanaharibu ubingwa wa uanaume
 
Back
Top Bottom