Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

siyo ulijiunga sasa unajuta
 
ushayaona facebook?
yamkini ndo unatumia mitandao kwa mara ya kwanza
 
Hili ni tatizo jipya kwa ulimwengu mzima, na wa magharibi ndio wanapambania saana hili janga lienee, kuanzia katuni, movies, michezo yaani kila sekta.. Tujitahidi kuzuia kwenye level ya familia, ila kwa jamii nzima ngumu, ukizingatia hata serikali yetu haijachagua upande rasmi, ni wapo wapo tu, kina juma lokole wanatangaza vituo vya habari huko na wengineo wengi.
 
So sad
 
Ungetuwekea hiyo link kwanza ili nikisha shuhudia hayo unayo yasema nipate msukumo wa kufanya maombi vzri …. I mean ile nguvu ya kumshawishi Sir God iwepo
 
Wanasagana wao, wewe tatizo lako nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…