Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sasa hizo dini zote ulizozitaja ushoga na usagaji vimetoka huko
 
Yule kijana alivyopendeza vile alifaa kua kwenye maadili mema.

Warumi 7:19-21

Neno: Bibilia Takatifu

19 Sitendi lile jema nipendalo bali lile ovu nisilopenda, ndilo nitendalo.

20 Basi kama ninafanya lile nisilopenda kufanya, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.

21 Kwa hiyo imekuwa kama ni sheria: kila ninapotaka kufanya jambo jema, jambo ovu hujitokeza.

Niombee rafiki yangu kuna wakati natulia ila akina Balqior BICHWA KOMWE mzabzab wanaleta mada za mizagamuano ninapotaka kufanya jambo jema jambo ovu hujitokeza
 
Ni ngumu kuacha sababu unaamini hilo ni jambo sahihi
Hao uliowataja sio sababu
 
Kama nchi ina viongozi wakubwa wanajulikana kwa ushiriki wao katika mapenzi ya jinsia moja unategemea nini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…