Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Baada ya kuona mbilikimo,wasanii na wengine sasa mnaleta watu wa ajabu kwa ili ccm mtakodi mpaka fisi wa simiyu ili muonesehe kuwa nyie chama pendwa.alisikika ashimu rungwe wa ubwabwa
 
Ukitoka hapo unajisifuuuu kwamba wewe bonge la mastamainda na propagandist wa ccm unaisaidia kuwauwa chadema sio? Kwa utumbo huu???
 
Michezo hiyo ya kutaka kujiunganisha chadema na ushoga ilianzia bungeni mara tu bunge la ulaya kutishia kibano mbunge ,waitala kanyanyuka eti hatukubali ushoga ,hiyo ikabuma leo wamekuja hawa.shoga gani anataka haki yake amefichua sura,mashoga wapigania haki zao huwa wanajulikana kwa majina na sura zao bila aibu,na kama wanajua ni haki yao kisheria kwanini wahofie usalama wao,kupambanua haki yako lazima ujue kuna kufa au kuipata ,sasa utapewaje haki yako huku haujulikani.
 
Homeschool your children! !

Homeschool your children before the system schools (brainwashes / defiles) them !
 
Hilo tamKo lina mkono wa CCM na wahuni. Lengo ni kuichafua CHADEMA kwamba ni chama cha MABASHA, WASAGAJI NA WASWAGI
 
Mapenzi ya jinsia Moja SI utamaduni wa kitanzania
 
HAwana haja ya kupaza sauti Bunge hilo la Ulaya waarifiwe waje kuchukuwa watu wao ,Yaani kama mimi ndio Raisi wa tanzania hata ndege nitawakodia niwapeleke huko Belgium makao makuu ya huo umoja.

CCM wakusanyeni hao muwapeleke huko Ulaya,yaani jambo dogo tu,ni kuwataaifu hao mabalozi hapo wawapokee watu wao hao na kuwachukua.

Sijawasikia wale wanaohutubia mikutano ya Chadema kulisemea hili japo Mkuu wao yupo Kizuizini hawa waliobakia hasa yule anaevaa gauni lenye madoa ya chuichui.
 
Kwani wangeandika Mabasha wa MAMA kungekuwa na ubaya gani,Chadema haiitaji kusifiwa
 
CCM na Serikali mnawapeleka wapi wababa wa taifa la kesho. Serikali ituambie ni bunge la Rais yupi na mawaziri waliohusika kusaini hiyo mikataba ya kishenzi.

Kumbe serikali inajua inachokifanya kupitia mlanga wa Mh Tundu Lissu.

Sawa limekuja tangazieni umma sasa wanadai haki yao ya mapenzi.
 
CCM ina watu wengi wa maana inakuwaje Lofa kama huyu analeta upuuzi wa hivi?...
Propaganda kama hizi za kipumbavu ni kwa watu wenye low IQ....
Unajua nchi inahitaji maendeleo sasa kwa staili ya huyu kilaza ni ngumu...
 
CCM ina watu wengi wa maana inakuwaje Lofa kama huyu analeta upuuzi wa hivi?...
Propaganda kama hizi za kipumbavu ni kwa watu wenye low IQ....
Unajua nchi inahitaji maendeleo sasa kwa staili ya huyu kilaza ni ngumu...
Huyu ajuza hana ndoa na sahivi ni bibi wa miaka 50 hajawahi kuoelewa sababu ya upumbavu wake kama huu
 
Hizi ni propaganda kutoka kikundi fulani, kinachotaka kuuhadaa umma wa nchi, kuhusu Agenda yao, ni lini wadau wa LGBTQ wakaandamana wazi wazi hivi tena hapa kwetu? Nani ana huo uthubutu? Na km ni kweli kwann wafiche sura?

Huu mchezo hata mtoto mdogo asiye na ufahamu hawezi hadaika, labda wapumbavu pekee. Lol
Kuishiwa kwa mbinu ya mapambano, 😳😳😳
 
UVCCM katika ubora wao.

No reform, no erection πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…