Shida ni wanawake ndio wanachangia kuharibu watoto, wanaume hatuna shidaWazazi wa hivi vitoto vya 2000 ndio tatizo wao ndio walioshindwa kushape watoto wao katika mkondo wa maadili mema matokeo yake Taifa limekuwa na kizazi Cha hovyo
Wakati tuna vilaumu vitoto vya 2000 tusisahau kuwaingiza na wazazi wao pia kwenye hizo lawama , wazazi wa hicho kizazi ndio changamoto nzito , Mtu kama kajala masanja Anapozaa mtoto what do you expect!!?
Unaweza kutoa malezi mazuri tu lakini bado hakuna mabadiliko vichwa vigumu sanaSasa kama unawalaumu watoto wa siku hizi basi lawama zianze kwa nyinyi wazazi mana nyinyi wazazi mumelelewa ivo ila nyinyi mumeshindwa kuwalea watoto wenu ivo
Sasa unamlaumu mtoto yy hana kosa ndo malezi aloyapata kutoka kwako wewe Mzazi
Kuna single Maza analea katoto la kiume YAANI ana kapodoa alafu kanaongea kike ukikapigia mpira kama beba kanarusha, wenzie wanabutuankwa miguu na wanalingana●Zamani sisi ukianguka chini hakuna kulia vitoto vya sikuizi vitalia kama vile viko msibani na hapo kamejikwaa tu.
●Watoto wa siku hizi wakitoka shule wasipokuta chai na chakula cha mchana ni vita , sie zamani tulikuwa tukitoka shule unakuta mboga tu utasonga ugali ule mwenyewe.
●Michezo yetu ya zamani ilikuwa ya nguvu tulikuwa tunacheza mchezo mmoja wa tuletule tumbakishie baba ule mchezo mtoto wa mama huwezi kucheza, leo sasa watoto ni katuni tu kikitoka shule nikatuni tu hakitakia ubadili channel .
● watoto wa. Siku hizi wazazi ndio wa kwanza kuamuka wao wamelala kikija kuamka ni saa tatu au saa nne asbh, zamani sisi ile saa kumi na moja kamili upo macho na hii imetujenga sana kikazi.
● Watoto wa siku hizi kufanya kazi za nyumbani wanaita mateso kizazi cha ajabu sana hiki, sisi zamani kufanya kazi ilikuwa lazima na usipofanya utakula viboko vya kutosha.
● watoto wa sikuhizi wanachqgua mitindo ya kunyoa nywele eti ninyoe kama jux , sisi zamani ilikuwa ni kipara tu twna kinapakwa mafuta mengi tena unanyolewq kwa wembe ikitokea umekatwa bahati mbaya hakuna kulia.
● Watoto wa siku hizi vikipigana huko, kikipigwa kinakuja kinalialia , sisi zamani ukipigwa na wewe piga hakuna kulia ukija unalialia unaongezewa kipigo.
●Watoto wa siku hizi ice cream mara chocolate kinakuagiza kabisa ukirudi uje na chocolate yangu utadhani kimekuwekesha hela, zamani ni uji tena wa chumvi ya mawe chakula chetu ni ugali daily na hakuna kuuliza utakachokuta ndio unakula hicho vitoto vya sasa wali na chips tu.
● watoto wa sasa eti ugali ni chakula cha mifugo kama wahenga wakisikia kauli hii hivi vitoto vitalaaniwa.
● Usipokapa hela ya shule ni vita yaani hatari , zamani sisi hakuna kupewa hela ya kula shule kula utarudi ule nyumbani.
Niishe tu hapo ila vitoto vya 2000 mmekuwa kimayaimayai sana, na hiki ndio kizazi maadili yameporomoka sana ukijichanganya kinakuonyesha dole la kati asee
Wazazi ndio kikwazo Wazazi wakioza society nzima inaoza tukae tukubaliane tu kwamba wazazi wa hiki kizazi Kuna mahali tumefeli tumeshindwa kwenda na Kasi ya mabadiliko ya kidunia katika malezi ,Unaweza kutoa malezi mazuri tu lakini bado hakuna mabadiliko vichwa vigumu sana
Kweli kabisa jamii ishaharibikaUnaweza kutoa malezi mazuri tu lakini bado hakuna mabadiliko vichwa vigumu sana
Mwanaume ndio kiongozi wa familia,ndio kichwa cha familia,lazima ufuatilie makuzi ya mwanao,kama mwanao anaharibiwa na Mama yake na wewe upo,basi hapo tatizo ni wewe.Shida ni wanawake ndio wanachangia kuharibu watoto, wanaume hatuna shida
Unaona sasa wanawake wengi hasa masingle maza wanaharibu watoto zamani masingle maza kuliwa hakuna , labda wajane tuKuna single Maza analea katoto la kiume YAANI ana kapodoa alafu kanaongea kike ukikapigia mpira kama beba kanarusha, wenzie wanabutuankwa miguu na wanalingana
Afu ukitoa adhabu mama zao wananuna sana , eti usinitesee mtoto daahKweli kabisa jamii ishaharibika
Umefeli broShida ni wanawake ndio wanachangia kuharibu watoto, wanaume hatuna shida
Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya nini?Mwanaume ndio kiongozi wa familia,ndio kichwa cha familia,lazima ufuatilie makuzi ya mwanao,kama mwanao anaharibiwa na Mama yake na wewe upo,basi hapo tatizo ni wewe.
Whats the point of being married kama hamkai wote? ? ?Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya nini?
Dah wamama wanaona wataishi na watoto wao kila siku hawajui kua kuna maisha baada ya kukuaAfu ukitoa adhabu mama zao wananuna sana , eti usinitesee mtoto daah
Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya niniMwanaume ndio kiongozi wa familia,ndio kichwa cha familia,lazima ufuatilie makuzi ya mwanao,kama mwanao anaharibiwa na Mama yake na wewe upo,basi hapo tatizo ni wewe.
Watoto na mama zaoSasa kiongozi hapo lawama ni kwa watoto au walezi?
Majukumu ya kikazi sijui umeelewaWhats the point of being married kama hamkai wote? ? ?