The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hapa tunaiongelea jamii nzima na sio wewe tu na familia yako,ndio maana huu uzi wako umewaongelea watoto wa siku hizi,ikimaanisha watoto wote wa siku hizi na sio watoto wako pekee.Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya nini
Watoto na mama zao
Hivi hivi vinavyoitwa vichwa vya familia mbona me hata sivioni, naona shingo tu! !Majukumu ya kikazi sijui umeelewa
Mzeebaba mtoto asilaumiwe, alaumiwe mlezi...hujawahi kusikia mtoto umleavyo ndivyo akuavyo?Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya nini
Watoto na mama zao
Sio kweli sisi wazazi tunafikisi tu tabia mbovuMakosa mengi au tabia nyingi ulizo ziandika,chanzo ni wazazazi wao,
Angalia lifestyle ya wazazi wa kipindi kile na wazazi wa sasa,
Kuna msemo unasema;
"Nionyeshe mwanao nijue tabia zako au Tabia za mtoto huwakilisha tabia za mzazi"
Ila kwa kiwango kikubwa mama zao wanamchango mkubwa kwenye tabia za watoto waoto maana wanakuwa nao muda mwingiHapa tunaiongelea jamii nzima na sio wewe tu na familia yako,ndio maana huu uzi wako umewaongelea watoto wa siku hizi,ikimaanisha watoto wote wa siku hizi na sio watoto wako pekee.
Mtoto akifika 18 ni out of control na linakuwa vita bangi lihuni apo alaumiwe mzazi au mtoto??Mzeebaba mtoto asilaumiwe, alaumiwe mlezi...hujawahi kusikia mtoto umleavyo ndivyo akuavyo?
Sasa ukimkuza mtoto kimayaimayai Kisha mtoto anakuwa mlegevu unamlaumuje mtoto hapo!
Kama umeoa mwanamke anaye haribu kizazi chenu Kwa kukipandikiza tabia chafu halafu umebaini Hilo then still unamuacha bila ya kumchukulia hatua nzito like kumtishia kumpa talaka basi hapo mwenye matatizo ni wewe mwanaume uko softy softy,Kazi zetu unakuwa bize mwaka mzima haupo nyumbani mkuu kwaio mama yao ndio unakuwa muangalizi tu hapo utafanya nini?
Unapo ambiwa samaki mkunje anagli mbichi Huwa unaelewa Nini !?Mtoto akifika 18 ni out of control na linakuwa vita bangi lihuni apo alaumiwe mzazi au mtoto??
Wengine hatutakagi makelele bn, kwa mfano unatoa adhabu mama yao anaanza kamdomoKama umeoa mwanamke anaye haribu kizazi chenu Kwa kukipandikiza tabia chafu halafu umebaini Hilo then still unamuacha bila ya kumchukulia hatua nzito like kumtishia kumpa talaka basi hapo mwenye matatizo ni wewe mwanaume uko softy softy,
Nakupa mfano mwingine wazazi wakike wa zamani (Mama zetu) walikuwa mstari wa mbele katika kuwalinda mabinti zao walio pevuka wajichunge wasilete Mimba wakiwa bado wapo nyumbani Tena walikuwa wana fanya hivyo kwa msisitizo wa hali ya juu mpaka mabinti walikuwa wanaogopa Na wakawa wana jichunga kweli ,
Unajua Moja ya sababu iliyo kuwa inawachagiza kina mama hao kufanya hivyo ni nini !? Ni strong leadership kutoka Kwa Baba
Baba zetu walikuwa wana waambia mama zetu endapo ikitokea mtoto wa kike akapata mimba Basi mama na huyo mtoto wa kike wote Kwa pamoja watafukuzwa ndani ya nyumba
Baba zetu walikuwa wana amini kwamba Kina mama na mabinti zao siku zote lao Huwa ni Moja Huwa wanafichiana Siri , so haiwezekani mpaka mtoto abebe mimba then mama Awe Hajui kitu
So Baba zetu Walikuwa wanatumia hiyo mbinu ya kuwa Ambia mama zetu hivyo kwaajili ya kuwalinda watoto wakike wasije kufanya huo ujinga Na mama zetu kwakuwa walikuwa wana waheshimu waume zao so walikuwa wanafanya Kila namna kuhakikisha wana toa kauli Kali Kwa mabinti zao ili wasije wakabeba mimba kabla ya kuolewa kwakuwa walikuwa wanajua fika kwamba ikitokea tukio kama Hilo basi na Mama pia itakula kwake atafukuzwa ,
So nacho taka ufahamu ni kwamba Nyumba ikiwa na baba ambaye Hana sauti kwenye family yake haiwezi kuwa nyumba salama
Basi nyumba Yako Ina changamoto Mzee 😄😄😄Wengine hatutakagi makelele bn, kwa mfano unatoa adhabu mama yao anaanza kamdomo
Single mazas mnawasingizia! Matoto mangapi yenye baba na yako hovyo hovyo? Hata zamani single mazas walikuwapo!Unaona sasa wanawake wengi hasa masingle maza wanaharibu watoto zamani masingle maza kuliwa hakuna , labda wajane tu
Asipotaja single Maza wateja watakuwa wachache hujaelewa Bado!!!Single mazas mnawasingizia! Matoto mangapi yenye baba na yako hovyo hovyo? Hata zamani single mazas walikuwapo!
Nikikumbuka siku Ile nimeenda kwa ndugu yangu anaishi Dar kitoto cha kiume cha miaka mitatu kimenigomea eti nihame kwenye sofa nilipokaa eti hapo huwa anakaaga yeye●Zamani sisi ukianguka chini hakuna kulia vitoto vya sikuizi vitalia kama vile viko msibani na hapo kamejikwaa tu.
●Watoto wa siku hizi wakitoka shule wasipokuta chai na chakula cha mchana ni vita , sie zamani tulikuwa tukitoka shule unakuta mboga tu utasonga ugali ule mwenyewe.
●Michezo yetu ya zamani ilikuwa ya nguvu tulikuwa tunacheza mchezo mmoja wa tuletule tumbakishie baba ule mchezo mtoto wa mama huwezi kucheza, leo sasa watoto ni katuni tu kikitoka shule nikatuni tu hakitakia ubadili channel .
● watoto wa. Siku hizi wazazi ndio wa kwanza kuamuka wao wamelala kikija kuamka ni saa tatu au saa nne asbh, zamani sisi ile saa kumi na moja kamili upo macho na hii imetujenga sana kikazi.
● Watoto wa siku hizi kufanya kazi za nyumbani wanaita mateso kizazi cha ajabu sana hiki, sisi zamani kufanya kazi ilikuwa lazima na usipofanya utakula viboko vya kutosha.
● watoto wa sikuhizi wanachqgua mitindo ya kunyoa nywele eti ninyoe kama jux , sisi zamani ilikuwa ni kipara tu twna kinapakwa mafuta mengi tena unanyolewq kwa wembe ikitokea umekatwa bahati mbaya hakuna kulia.
● Watoto wa siku hizi vikipigana huko, kikipigwa kinakuja kinalialia , sisi zamani ukipigwa na wewe piga hakuna kulia ukija unalialia unaongezewa kipigo.
●Watoto wa siku hizi ice cream mara chocolate kinakuagiza kabisa ukirudi uje na chocolate yangu utadhani kimekuwekesha hela, zamani ni uji tena wa chumvi ya mawe chakula chetu ni ugali daily na hakuna kuuliza utakachokuta ndio unakula hicho vitoto vya sasa wali na chips tu.
● watoto wa sasa eti ugali ni chakula cha mifugo kama wahenga wakisikia kauli hii hivi vitoto vitalaaniwa.
● Usipokapa hela ya shule ni vita yaani hatari , zamani sisi hakuna kupewa hela ya kula shule kula utarudi ule nyumbani.
Niishe tu hapo ila vitoto vya 2000 mmekuwa kimayaimayai sana, na hiki ndio kizazi maadili yameporomoka sana ukijichanganya kinakuonyesha dole la kati asee
Duuh!Nikikumbuka siku Ile nimeenda kwa ndugu yangu anaishi Dar kitoto cha kiume cha miaka mitatu kimenigomea eti nihame kwenye sofa nilipokaa eti hapo huwa anakaaga yeye
Halafu badae kananidandia na kunivuta ndevu zangu eti nafanana na mbwa wao kilichoniuma zaidi kikalazimisha kuchukua simu yangu kicheze game nikagoma kumpa akaanza kulia na kunambia "Toka kwetu"
Wazazi wake wanacheka Cheka tu meno nje
Badae nikaona isiwe tabu nikampa simu lakini akaipigiza chini kwenye tiles ikavunjika kioo yaani Sina hamu niliondoka siku hiyo hiyo jioni nikiwa hoi kwa vurugu za yule mtoto
Tunawaharibu kivipi tena Mkuu? Hebu tusanue.Shida ni wanawake ndio wanachangia kuharibu watoto, wanaume hatuna shida
Hapo ndio unafeli.Wengine hatutakagi makelele bn, kwa mfano unatoa adhabu mama yao anaanza kamdomo