Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Uko sawa kabisa
Watu huingia kutokana na kutafuta nguvu zaidi za giza hawa wenye kazi kama wanasiasa wanajeshi etc
 
Mashoga yapo mengi sana sikuhizii tena wattot adi niaka 16 kuna bar fulani ukiend jmos aki unaweza hisi upo thailand yani kila sehem mchele. Na watu hawajui ukimla mwenzio nawe ni shoga ni suala la muda tu
Iko buza sio
 
Kuna vijana wanatoka mikoani wakifika Dar hawna pa kwenda hawa ni wahanga wakubwa wa vitendo vya ushoga kwani wanalazimishwa bila kupenda
 
Mtani, ushoga hauhusiani na malezi ya mdeko kupita kiasi.
Kuna vitu bado hamvijui kuhusu ushoga..
Amini nawaambia
 
Pia Uzinifu umechangia pakubwa tatizo hili uzinifu umezalisha panya road na uncle T wengi sanaa

Leo hii usipozini unaonekana mshamba tuu lakini ndani yangu uzinifu siupendi haswaa
Una hoja pia.
 
Hutakaa kurudi nyuma kamwe, uke utauona wa kawaida sanaaa, utauona very boring.

Itakuwa bila kufanya nyuma haujakamilika.

Utaishia kuingia gharama kupata nyuma haswa yule uliemzoea akiwa hayupo.

Utaishia kurubuni mabinti wadogo maana uliowazoea pamepwayaa.

Utaishia kumuharibu na mke wako

Na wengine huishia kufanya hadi wanaume wenzao maana ulevi huu utakavyo kukaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…