Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana


Alafu ni vijana wadogo sana 18-25 ndo wanaoongoza. Huo ndo upande wa pili wa Tanzania tusioujua.
 

Kwa hiyo nini kifanyike sasa mkuu
 
Acha ujinga, mtoto siku zote akili yake inakuwa haija komaa na ndio maana kuna wengine unaweza ukamlaghai hata kwa pipi, PS au hata movies. So kuna washenzi wanatumia nafasi hii ya udhaifu wa ukomavu mdogo wa akili za mtoto kuwalaghai na kuwaingilia.

Mimi kuna jamaa yangu nimekuwa nae tokea mtoto, miaka minne iliyopita nikaambiwa jamaa analiwa na aliye muaanza alimshawishi kwa hizi movie za Mkandala kipindi tukiwa watoto,yeye alikuwa anaingia bure.Halafu yule jamaa aliye mfanyia hivyo kahamia Chanika na kazi yake ilikuwa hiyo hiyo ya kuonyesha movies, kama ndio tabia yake hivi mpaka sasa atakuwa kaharibu wangapi?

Juzi tu kama sikosei Iringa, jamaa mmiliki wa PS kawalawiti watoto zaidi 10,hivi hawa nao walionyesha dalili? Ndio wapo walio ingia kwa tamaa zao, ila majority wamelubuniwa wakati wakiwa watoto sababu akili zao hazi kupevuka na wengine wazazi walishindwa kutimiza wajibu wao.
 
Mkuu tabia za kishoga zinaanzia utotoni. Naomba wazazi wawe makini na watoto wao, hasa kuhakikisha kuwa vitu wanavyotazama kwenye mitandao ni vile vyenye maadaili tu. Mungu atuhurumie waja wake.
 
Upo sahihi nakuunga mkono 100%, tabia za kishoga huanzia utotoni hasa pale watu wazima wanapowarubuni watoto na kuwaingiza kwenye vitendo vya kishoga.
 
Wanafadhiliwa na watu wazito ndo maan wanazidi kuwa wengi na pia tamaa kwa mfano Sinza kulikuwa na jamaa huyo jina lake kitu kama dan hv yule jamaa alikuwa na Tabia ya kuwashawishi vijana kama wanataka vitu fulan anawasaidia kumbe alikuwa anawalawit nae analawitiwa na pia Sinza hyohyo mitaa ya kwa mwaibula kuna kigogo aliwapangishia mjengo mashoga...

Pia baadhi ya wanawake wanawapa kichwa maan wao ndo kampani yao wanajazana masaluni ya kike kupiga umbea na wanawasifia pia ndo makuwadi wao...

NB; kwa wilaya KINONDONI huko hawajifichi ni waziwaz tofaut na wilaya zingine MUNGU atusaidie kwa kwl asa ss tunaokaribia kuitwa baba
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Naskia na huko Zanzibar imekua baada ya nyumba Kuna shoga1,baada ya nyumba shoga nikweli????
Si kweli....

Mashoga wapo kama ilivyo tanga ..na dar..

Ila sehemu yoyote mjini huwa kuna mengi lakini kwenye viunga ...ni moja ya watu na nadhari mno...

Staha ipo sana tena.. ...

Jamii tulivu mno...
 
Si kweli....

Mashoga wapo kama ilivyo tanga ..na dar..

Ila sehemu yoyote mjini huwa kuna mengi lakini kwenye viunga ...ni moja ya watu na nadhari mno...

Staha ipo sana tena.. ...

Jamii tulivu mno...
Alafu hii tabiaya kukaa kujadili mashoga kama vile wao siyo watu acheni kuishi zama za kale, sikuhizi kila mtu ana haki za kuishi maisha yake anavyopenda yeye.

Nyie mkienda ulaya au china mkaambiwa nyie Weusi siyo watu ni nyani muuwawe mtafurahi? Mbina mnapenda kunyanyasa wenzenu wakati nyie pia hampendi kunyanyaswa?

Kuna wazungu wanaamini mtu mweusi siyo binadamu kabisa anafaa auwawe. Yaani watu tuko katika zama za kupambana na unyanyasaji wa haki za muafrika na binadamu wote kwa ujumla kuna matakataka yapo humu yanajadali kama mashoga wauwawe au siyo watu.

Hebu acheni mawazo mgando, mimi naweza nisikubaliane na style ya maisha ya mtu mwingine lakini ninaelewa haki za kila binadamu kuishi kwa jinsi mungu alivyomuumba. Awe shoga awe straight siyo nafasi yangu kumpangia mtu style ya maisha yake. Acha mungu awe hakimu wa kila mtu mwisho wa maisha yake.
 
Ni kinyaaa aiseee. Why mwanaume umgeuze mwanaume mwenzio. Hata wamama mnaokubali kufanyiwa Anal sexual jiangalieni laana hiyo itatafuna vizazi vyenu
Wao wanaita mchicha mwiba au kuku mtamu kuna radha adimu wanaipata pengine
 
Nipe no ua group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…