Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziii hapaaa khaaah
 
Bora usemee wee.
 
Tatizo hili halijaletwa na wala haliendelezwi na wanawake. Na kama wanahusika, basi si zaidi ya wanaume. Wanaume ndio wakulaumiwa zaidi, si ndio wateja?
 
Sasa kumbe sio matakwa yao kuwa mashoga bali ni Hormone im-balance. Basi tusiwatenge tuwaonyeshe upendo na Wapatiwe elimu ya Ujinsia wapate kucontrol Mind set zao
Mwanadamu na ugunduzi mbalimbali, kweli ameshindwa kupata jinsi ya kuzifanya hizo homoni ziwe katika uwiano?
Maana watu wanatumia dawa kudhibiti tabia na akili ambazo hazijatulia (mood swings).
 
Mkileft magroup ya wanaume huwa mnatoa vihoja vya kishenzi kweli
 
Mkileft magroup ya wanaume huwa mnatoa vihoja vya kishenzi kweli
Si unaona sasa wewe mwenyewe, jambo la kutumia akili na busara, unakuja na matusi. Acha watuburuze tuu, yani wewe ndio ujenge hoja ya kukomboa jamii? [emoji2] Labda kama nina kichaa, nitakuelewa
 
kuna baba mmoja tena inawezekana humu yumo alikuwa anawapanda watoto wa watu.
sasa na yeye wakwake wanampanda na ndiye mtoto anayemtunza baba yake.
 
kuna baba mmoja tena inawezekana humu yumo alikuwa anawapanda watoto wa watu.
sasa na yeye wakwake wanampanda na ndiye mtoto anayemtunza baba yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mla vya watu na vyake huliwa.
 
Haya mambo ni external conditions za maendeleo.

Ili vijana waweze kusoma unahitaji maabara, mabweni, madarasa, vitabu, lakini unawaleta wanafunzi pale wengine wanafeli, wengine wanapasi.

Ili kujenga nyumba unahitaji kiwanja, simenti, mchanga, vifaa, foreman. Haya mambo yote ni external lakini ipi kazi kubwa ya kurekebisha roho za watu ili waweze kuwa productive au kama Father Kimaro alivyosema watu wengine wanafanya kazi vizuri lakini ni wezi?

Sasa, hawa manabii wananichekesha sana mambo wanayosema, lakini huyu mmoja nilikuwa namsikia sasa hivi naona labda kweli katumwa na Yesu. Anasema Mungu amekaribia kuiadhibu Tanzania kwa sababu vitendo vya ushoga vimezidi.

Internal conditions za kuleta maendeleo lazima zizingatiwe. Maneno kama, mimi ni bingwa wa uchumi, wewe ondoka hapa na mambo yako ya uganga wa kienyeji hayafai.
 
Mjadala mzuri sana huu, ila kuna ndugu zetu ambao ukiwashinda hoja wanakutukana, nadhani tungekuwa na busara jamii yetu ingekomboka kutoka kwenye huu utumwa, mtu unampa hoja ili mfikie "Muafaka" anakuita wewe 'Shoga' kisa tuu, umemuuliza swali ambalo kimsingi ameshindwa kulijibu.

Mimi nitabaki pale pale kwenye swali langu, otherwise nijibiwe.

"Kwanini Mapenzi ya Jinsia moja (Ushoga) unakuwa kwa kasi Afrika, ilhali ni moja kati ya ukanda unaopinga vikali ajenda hii duniani?"
 
Tuendako vijana wengi wanapenda utandawazi na maisha bwerere (chawa) watajitokeza wazi bila tashwishwi.
 
Jamii ndo inalea ushoga. Mashoga, Walawiti, Wafiraji wanatakiwa Wauawe.
Tofauti na hapo tutaona ninkawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…