Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Nina wasiwasi na hata nyumba zilizotulia haya mambo yapo. Ila inasikitisha zaidi kuona mtumishi wa Mungu nae hajambo.
 
Muziki wa bongo fleva, taarabu na singeli vimechangia sana kushuka kwa maadili ya watto na wanaume.
Mziki mtu anakata mauno, mwanamke anampelekea matako mwanaume na mwanaume anafanya kama wanafanya mapenzi tofauti kuwa tu wamevaaa nguo, then huyo mtoto ukimkuta amepigwa staili ya chuma mchicha unasema kajifunzia wapi wakati wewe ndio umemfunza, umemwacha aangalie hiyo michezo lakini pia hujakemea badala yake wew ni mfuaasi wa huo ushenzi.
Naunga mkono hoja

Ushoga unaendana sana na mabongo flavour,ndomana kutwa mashoga
Wanaongozana na wasanii wakubwa

Ova
 
Asee ushoga n janga kubwa

Jana nilikuwa nacheki world cup mech ya Brazil vs cameroun bar moja Maarufu ya TITANIC POSH iliyopo vingunguti relini jiran na kituo Cha scania inayomilikiwa na waziri George simbachawene

Fm academia walikuwa hapo na mh wazir Naye alikuwepo na mkewe Cha ajabu mashoga yalikuwa yanafanya part yao hapo pia dah yaan mh Naye alikuwa anafurahia tu huku wakimtajataja hao mashoga yanakata viuno tu



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Asee ushoga n janga kubwa

Jana nilikuwa nacheki world cup mech ya Brazil vs cameroun bar moja Maarufu ya TITANIC POSH iliyopo vingunguti relini jiran na kituo Cha scania inayomilikiwa na waziri George simbachawene

Fm academia walikuwa hapo na mh wazir Naye alikuwepo na mkewe Cha ajabu mashoga yalikuwa yanafanya part yao hapo pia dah yaan mh Naye alikuwa anafurahia tu huku wakimtajataja hao mashoga yanakata viuno tu



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ungekisanua kwa mapolisi kwamba kuna mashoga wana party hapo: Ila dah unatumia TECNO alafu unaenda bar, aisee hiyo hela ya bia si ungezichanga ununue sim original?
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Shida kwa wanasayansi wanasema ushoga ni non_reversable action.
Ikisha tokea watoto wa mujini wanasema ndio baasi tena.
 
Ushoga bila ya wale wanaowaingilia hao mashoga ungejifia. Tatizo tunaangalia matokeo (shoga) hatuangalii chanzo cha tatizo ambacho ni wale wanaowaingilia hao mashoga,unakuta Mtu kaoa ana mke ndani lakini ana muingilia mwanaume mwenzake. Na siku hizi kuna kamtindo kameingia Ukilewa Sana hujitambui,watu wanakukula (wanakulazimisha uwe shoga hata kama hutaki[emoji23])
 
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania, Rejeeni Kichwa cha habari hapo juu

Kipindi tukiwa tunaendelea na harakati za kupinga mapenzi ya Jinsia Moja. Tunawakataza watoto wetu kushiriki baadhi ya Michezo na hata kuangalia tamthilia zinazoonyesha hayo mambo

Tunasahau kwamba Wapenzi wa jinsia mbili tofauti (Me & ke) wanaoshiriki mapenzi kwa njia ya kinyume na maumbile nao pia ni chanzo cha Ushoga

Najaribu kujiuliza mwanaume aliyezoea kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile, anashindwa kumuingilia mwanaume mwenzie kweli?....

Ni ngumu kupata majibu sahihi lakini kwa maswali madogo tukiendelea kujiuliza tutagundua nao ni kundi moja la kueneza ushoga.

Ni ngumu kwa sisi kuzuia maana tendo linafanyika kwa siri na pia wanaofanya ni jinsia mbili tofauti ambapo sio kitu chakushtua kikawaida.

Sijui tunanusuru vipi kizazi chetu kwenye hili swala...Mungu atusaidie vizazi vyetu kwenye hili swala[emoji17]
 
ni kweli kabisa na Chanzo tumekosa hofu ya mungu tunafanya mambo ya ajabu kisha tunaona ni ya kawaida.
 
Back
Top Bottom