Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

kuna umuhimu serikali yetu ichukue hatua mapema, kizazi hiki kitaharibika kuliko hata vizazi vya ulaya. ujue wazungu huwa wanaharibika ila wanaharibikaga kisomi sana ila waafrika wakiamua kuharibika huwa wanaharibika mazima. Mungu linda kizazi hiki.
 
kuna umuhimu serikali yetu ichukue hatua mapema, kizazi hiki kitaharibika kuliko hata vizazi vya ulaya. ujue wazungu huwa wanaharibika ila wanaharibikaga kisomi sana ila waafrika wakiamua kuharibika huwa wanaharibika mazima. Mungu linda kizazi hiki.
Mfano kama unga,watu weupe wanauvuta lakin hawaharibiki kijinga kama huku
 
Ni nyie nyie wanaume wenzao ndo mnafanya waendelee kuwepo na kushamiri,
Na nyienyie wanawake hutengeneza urafiki mkubwa na hao mashoga... mnawakaribisha mpaka makwenu kuwapa kampani, mnapika na kupakua... jinsia zote zinastahili kulaumiwa hapa.


Ila hawa dawa yao ni kuua tu kama Jamaica wanavyofanya 🤔
 
anayemla shoga nae anastahili kupimwa akili... ila si wote kwenye hiyo 90% wanafurahia hivi vitu

Wengine wamewala mashoga kwa nguvu ya ushawishi wao (hao mashoga) na mpaka kesho wanajuta. Wanadai wana ushawishi mkubwa mno!
Ni nyie tu ndo wa kumaliza tatizo hili, mi siwezi kuwalea sababu naona km wanatuongezea ushindani
 
Huwa sipendelei sana kwenda sehemu ambazo wenyewe Watoto wa mjini huita kina-happen ile mbaya. Mimi hupendelea kutoka na kwenda sehemu tulivu. Maana sehemu hizo za kunapo-happen huwa ni shida tu na watu kujifanya tunajuana sana.

Weekend hii sababu ya mualiko wa rafiki yangu nikawa sina jinsi nikaenda ile pub moja pale sinza mori njia ya kutokea kwa kakobe ambayo ndio ina-happen sana kwa sasa(sitaitaja jina).

Kilichoshangaza zaidi kuwepo kwa vijana wengi Mashoga, niseme ukweli kwenda kwangu kote sehemu za starehe sikuwahi kuona idadi kubwa ile ya vijana Hawa Kama niliyoiona weekend hii. Na Cha ajabu kabisa hata mavazi yao wengi wamevaa ya kike kike.

Hawa vijana hawana hofu kabisa, ni wengi sana na muda mwingi hujipitisha pitisha kwa kubinua makalio mbele ya wanaume. Na mwingine niliona akienda kumkatikia mwenzie, wakawa wanabambiana. Wamejiremba na wengine wamepaka make-up.

Ni kina nani huwatongoza hawa na Kulala nao? Mbona sio kawaida? Huu wingi umetoka wapi? Mwenye hii bar sijui pub sijui lounge anakubali vipi hii sehemu kufurika hawa watu?
Hiii ni aibu aseee 😠😠😠😠
 
Kwa kizazi hiki tulichonacho wenye msimamo kams huu wako ni wachache wengi wwkikataa wanajiona km watadharaulika lakini kumla dume mwenzio inahitaji kuhitoa ufahami kiaina maana doh inatia ukakasi,, mwili wa mwanaume haupo kwa ajili hiyo hata hauvutii sielewi kwakweli
Ni kwamba.... Ukiona shoga linakufata Mkosi huo. Zidisha ibada na mkimbie haraka!
 
Back
Top Bottom