Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jamani naomba kuuliza kama kuna anaye fahamu kuhusu alipo mwandishi wa blog ya salimmsangi.blogspot.com,imepita miaka mingi sasa sijaona akiposti.Nimejaribu kuipitia tena makala yake ya dola ya kishetani na ushoga aliyo iandika november 2 mwaka 2015 lakini mambo mengi aliyo kua akiandika ndio yanayo tokea sasa kuhusiana na ushoga na mambo mengi mengine yanayo husu ulimwengu tusiyo ufahamu.Naomba kama kuna anaye jua alipo aniambie ili tujue sababu ya kuachana na hiyo blog iliyo kua imebeba siri nyingi sana za Freemason ana illuminati.
 
Huna Akili. Ameshakuambia wazi kuwa alipata Ushirikiano mkubwa kutoka Police na Wizara ya Mambo ya Ndani sasa hujaelewa nini hapo?

Hivi Wizara kuwa na hiyo Drone / hizo Drones ni ngumu? Kuna Watu ni Majuha hadi Mnaboa.

Kama ukijijua kuwa huna Akili acha kabisa Kufungua au Kuchangia Mada zangu GENTAMYCINE sawa?

Mnanichosha kwa Kuwaelimisheni.
Sawa kijana mwerevu
 
Asili haitambui sheria kanuni na hesabu za kibinadamu, ndio maana ushoga unaongezeka kwa kasi

Ukiitazama asili,inaongea lugha kinzani kuhusiana na uwiano wa wanawake na wanaume katika idadi.

Ndiyo maana asili yenyewe imekazana kuongeza idadi ya wanadamu wenye jinsia ya kike kuliko kiume.

Sababu Kiasili na mahitaji ya asili Wanawake ni wachache na wanaume ndo wengi,ndio maana asili inazidi kuongeza idadi ya wanawake kuliko wanaume.

Duniani na hata Tanzania tunajua kuwa idadi ya jinsia ya kike ni kubwa kwa mujibu wa namba za sensa kuliko idadi ya wanaume.

Kwa muktadha wa manufaa na tija za asili mtizamo ya hesabu na idadi hiyo ni kinyume chake.

Kwa mahesabu madogo ya asili na kibaolojia kila mwanaume mmoja anahitaji kuoa au kumiliki kimahusiano wanawake 72 hadi 100 kuleta tija ya kiasili.

Kibaolojia mwanaume anauwezo wa kuzalisha wote hao ndani ya mwaka 1 wa siku 365.

Hii ikizingatia busara za kibaolojia za kuamini kwamba huyu mwanaume atakua angalau anakaa siku 3 hadi 5 bila kushiriki tendo hivyo kwa siku 365 anauwezo wa kuzalisha wanawake 72 hadi 100.

Sasa kama leo kila mwanaume atapewa wanawake 72 au 100 kama asili inavyotaka unadhani wanawake watatosha...???

Hivyo bado wanawake ni bidhaa adimu ndiyo maana Asili inaendelea kuwazalisha zaidi.

Ubongo wa asili haujui mambo ya mke mmoja au wake wanne,Asili haijui mambo ya sheria za kibinadamu,asili inaangalia sheria za asili...

Ndio maana asili imemuumba mwanaume as a "human production machine" Always men are sexally Lust...

Sheria ambazo zimemgeuza mwanaume a-behave tofauti,ndio maana ubakaji,ushoga,kujichua,mapenzi na wanyama vimeshamili.

Hivyo ikitokea kwa sasa mwanamke akakosa mume hilo sio kosa la asili ni kosa la sheria za kibinadamu.

Baada ya asili kuingiliwa haya yakatokea

"contraception, celibacy, marriage, adultery, casual sex, flirting, prostitution, homosexuality, masturbation, seduction, rape, sexual harassment, sadomasochism, pornography, bestiality, and pedophilia."

Na hatari ya ushoga inaweza kuja kua janga kuu kama mifumo ya sayansi za kidunia na binadamu wataendelea kuichezea asili.

Kwasababu sasa hivi kuna sayansi ambazo zinaruhusu hadi wanandoa kuchagua jinsia ya mtoto,na wengi wanachagua jinsia ya kiume.

Sayansi hizo zinakinzana na asili,itafika wakati wanawake watazidi kupungua zaidi na hapo ndo italazimu wanaume kugeuzana.

Swali la kujiuliza kama mpango wa asili ulikua mwanaume mmoja mke mmoja au wanne kwanini huyu mwanaume asili isinge muumba awe na kipindi cha heat cha mara moja kama wanawake walivyo...

Kwanini mwanaume kila siku yupo katika heat harafu apewe mke mmoja au wanne??!

Sababu asili imemuwezesha mwanaume kuzalisha wanawake 72 hadi 100 kwa mwaka na mwanamke kuzaa mtoto mmoja kwa mwaka.

Na kwa mujibu wa Asili tendo la ndoa sio kwasababu ya starehe ni kwasababu ya uumbaji..
Immanuel Kant said"sexual desire is morally wrong, sex is for reproduction not for a preasure"

Sasa kwa mke mmoja au wanne je kila tendo lako lina lengo la uumbaji au starehe...

Je ni viumbe wangapi wamepotea kwa sheria hizi za kibinadamu zinazopingana na asili?

Anyway kwa mujibu wa Asili na tungeishi vile asili inavyotaka Wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume..

Matumizi ya Madawa na vifaa vy uzazi wa mpango vilikua havina haja kama tungefata kanuni za za asili....

Kibangubangu present.
 
kuna watu wanakurupuka kutaka serikali iingie mkenge kuhusu ushoga, sijui ni wasomi wa wapi wasiojua mikataba ya kimataifa juu ya haki za binadamu. Vitu vingine kuvifahamu haihitaji elimu kubwa ya mambo ya kisheria
Inaonekana nawe unapumuliwa, maana umekuwa mtetezi sana.
Penal code (154) kasome, you fag!
 
Maana naona upepo wa nchi yangu siuelewi kabisa kwa sababu, Hatuna mkazo juu ya jambo hili na kibaya zaidi tumekua wapinga bendera ya LGBQ huku tukiruhusu sheria na taratibu za huo uchafu uendelee.

Inakua kama baba anakimada na huku ameoa.
Kiweni wawazi ili mueleweke
 
Inaonekana nawe unapumuliwa, maana umekuwa mtetezi sana.
Penal code (154) kasome, you fag!
pumbavu, wapi natetea ushoga? Haya kaanze kuwashughulikia tuone hiyo penal code kama itakuunga mkono. Haya mashoga yapo nasi muda muda mrefu hajawa na athari kwa taifa na hakuna mtu wa ku deal nao kwa maana si jambo la tija kwa taifa. Taifa lina mambo muhimu ya kujadili na si mambo ya hovyo kama ushoga
 
Je, unadhani taifa kukosa mfumo wa sanaa maigizo na muziki (performing art) yake (kwa mahadhi ya Kitz) kumetoa mwanya kwa mfumo wa sanaa ya ughaibuni kuingia na kuhamasisha vitendo vya ushoga na usagaji Tz?

Hii pia inahusu sanaa-andishi (fine art) kwa vitabu vya ziada na kiada vya kitaaluma ambapo taifa limethamini sana vitabu hivyo toka ughaibuni kuliko vya waandishi wa nyumbani.

Je, sanaa ni njia ya ushoga na usagaji kuingia kwy jamii Tz na duniani?

Tujadili kwa staha ili tupate maarifa juu ya zimwi hili linaloipeleka sayari kuzimu

Nini maoni yako?

Inaonekana nawe unapumuliwa, maana umekuwa mtetezi sana.
Penal code (154) kasome, you fag!
Si kila anayepinga mashoga kufanyiwa matendo ya kijinai anapumuliwa, pumbavu, kwa taarifa yako hata hao mashoga sijawahi kuwaona wakoje ni mimi si wa hivyo usinipe sifa ambazo sina. Jikite kwenye hoja
 
Pengine kuna kitu unanufaika nacho kwenye hiyo secta ndio maana hauoni u-seriously wake

Endelea kunufaika nao mkuu ila sisi tunalilia tuzuie kizazi chetu kisiteketee

Ushoga-kinyume na maumbile- usagaji na ukabaji - upanya road uvunjaji na uibaji na kujeruhi- zote ni tabia chafu so hatutaki tabia mbovu kwa vijana wetu lazima tuzifananishe wewe kama unaona kuna tabia moja inafaa hapo ni vilee uelewa wako tu na mwisho wako wa kuelewa

Vigumu sana kuelewa kama una unga mkono UPINDE ila upande wangu ushoga ni kati ya tabia chafu so naziweka katika tabia chafu ikiwepo UPOLAJI na uvunjaji na kujeruhi na wizi kiujumla yaani PANYA ROAD- uwezi nielewa labda nitoe haya maneno kwenye uandishi niyaweke kwenye sound-loud yaani yasikilizike- Are you OK!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] narudia tena, wee hauko sawa kuufananisha ushoga na panya road.

Hebu toka kwenye mhemko, afu rudi kwenye logic utaelewa.
 
INAENDELEA........
Mbona hatukustukia nguvu zinazotumika kutengeneza wanawake viongozi na wasemaji na hata kuwapa mamlaka makubwa zaidi ya wanaume ile hali maswala haya katika dini na tamaduni zetu ni laana na havikubariki?

Je kuna yeyote alishawahi kukaa akafikiria na akaona nguvu inayotumika kutengeneza viongozi wanawake ni kubwa kuliko uhalisia wa jambo jenyewe?

Je? ulishawahi kukaa ukafikira wanawake viongozi wakubwa Afrika walioko madarakani na waliowahi kuwa madarakani historia zao namna walivyopata nafasi hizo?
nakupa hii fuatilia Duniani ever sehem yoyote ambayo mwanamke ndio anaongoza lazima kuna nguvu flani isiyo ya kawaida iliyomfikisha hapo, yaani kuna profile behind,,,,,,,,, case study kila mtu anayo hapa sina haja ya kufafanua maana nitawagusa pabaya..

Leo hii tunawaona Wanawake wakihubiri madhabahuni, tunawaona wanawake wakitaka haki sawa hata kutaka kuowa wanaume, na wanapiga vifua wakisema wanaweza huku tukikenulia hayo je? ni utamaduni wa jamii ipi au dini ipi unamtaka mwanamke aongoze mwanaume?

Yote yalishakuwa ya kawaida na hakuna uajabu tena, So wait miaka si mingi mashoga na wasagaji watapewa nafasi kubwa hata kuwa viongozi wakubwa wa mataifa na hii itapandikizwa kama ilivyofanyika kwa wanawake kupewa mamlaka na halitakuwa jambo la ajabu anymore, Baba ataliwa mbele ya wanae na mama ataowa mbele ya wanae na hakitakuwa kitu cha ajabu anymore!

Ushauri kila mtu inampasa asimamie imani yake na utu wake, Hakika mimi kama terminator nyie fil,,,,neni tu but for me naheshimu sana mamlaka yangu niliyopewa na mungu ya uanaume, nitabaki kuwa mwanaume tu, sitatii mwanamke ila nitafuata misingi yangu isiyokuwa na uvunjaji wa sheria.

Najua wapo mtakaomind ila fresh tu nawakilisha.
Kumekuchaaaaaaaa!!!
 
Ukiitazama asili,inaongea lugha kinzani kuhusiana na uwiano wa wanawake na wanaume katika idadi.

Ndiyo maana asili yenyewe imekazana kuongeza idadi ya wanadamu wenye jinsia ya kike kuliko kiume.

Sababu Kiasili na mahitaji ya asili Wanawake ni wachache na wanaume ndo wengi,ndio maana asili inazidi kuongeza idadi ya wanawake kuliko wanaume.

Duniani na hata Tanzania tunajua kuwa idadi ya jinsia ya kike ni kubwa kwa mujibu wa namba za sensa kuliko idadi ya wanaume.

Kwa muktadha wa manufaa na tija za asili mtizamo ya hesabu na idadi hiyo ni kinyume chake.

Kwa mahesabu madogo ya asili na kibaolojia kila mwanaume mmoja anahitaji kuoa au kumiliki kimahusiano wanawake 72 hadi 100 kuleta tija ya kiasili.

Kibaolojia mwanaume anauwezo wa kuzalisha wote hao ndani ya mwaka 1 wa siku 365.

Hii ikizingatia busara za kibaolojia za kuamini kwamba huyu mwanaume atakua angalau anakaa siku 3 hadi 5 bila kushiriki tendo hivyo kwa siku 365 anauwezo wa kuzalisha wanawake 72 hadi 100.

Sasa kama leo kila mwanaume atapewa wanawake 72 au 100 kama asili inavyotaka unadhani wanawake watatosha...???

Hivyo bado wanawake ni bidhaa adimu ndiyo maana Asili inaendelea kuwazalisha zaidi.

Ubongo wa asili haujui mambo ya mke mmoja au wake wanne,Asili haijui mambo ya sheria za kibinadamu,asili inaangalia sheria za asili...

Ndio maana asili imemuumba mwanaume as a "human production machine" Always men are sexally Lust...

Sheria ambazo zimemgeuza mwanaume a-behave tofauti,ndio maana ubakaji,ushoga,kujichua,mapenzi na wanyama vimeshamili.

Hivyo ikitokea kwa sasa mwanamke akakosa mume hilo sio kosa la asili ni kosa la sheria za kibinadamu.

Baada ya asili kuingiliwa haya yakatokea

"contraception, celibacy, marriage, adultery, casual sex, flirting, prostitution, homosexuality, masturbation, seduction, rape, sexual harassment, sadomasochism, pornography, bestiality, and pedophilia."

Na hatari ya ushoga inaweza kuja kua janga kuu kama mifumo ya sayansi za kidunia na binadamu wataendelea kuichezea asili.

Kwasababu sasa hivi kuna sayansi ambazo zinaruhusu hadi wanandoa kuchagua jinsia ya mtoto,na wengi wanachagua jinsia ya kiume.

Sasa kama kila ndoa kupitia sayansi itachagua mtoto wa kiume,kwasababu wengi huamini mtoto wa kiume ndiyo ufahari,hawa watoto wakiume wakiwa wengi watakuja kuwaoa kina nani?????

Sayansi hizo zinakinzana na asili,itafika wakati wanawake watazidi kupungua zaidi na hapo ndo italazimu wanaume kugeuzana.

Swali la kujiuliza kama mpango wa asili ulikua mwanaume mmoja mke mmoja au wanne kwanini huyu mwanaume asili isinge muumba awe na kipindi cha heat cha mara moja kama wanawake walivyo...

Kwanini mwanaume kila siku yupo katika heat harafu apewe mke mmoja au wanne??!

Sababu asili imemuwezesha mwanaume kuzalisha wanawake 72 hadi 100 kwa mwaka na mwanamke kuzaa mtoto mmoja kwa mwaka.

Na kwa mujibu wa Asili tendo la ndoa sio kwasababu ya starehe ni kwasababu ya uumbaji..

Immanuel Kant said "sexual desire is morally wrong, sex is for reproduction not for a preasure"

Sasa kwa mke mmoja au wanne je kila tendo lako lina lengo la uumbaji au starehe...

Je ni viumbe wangapi wamepotea kwa sheria hizi za kibinadamu zinazopingana na asili?

Anyway kwa mujibu wa Asili na tungeishi vile asili inavyotaka Wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume..

Kwa asili mwanamke anahitajika zaidi duniani kuliko mwanaume,ndio maana katika uumbaji mbegu ya kike iko fast kuliko yabkiume kufikia yai kufanya uumbaji,na pia baada ya kuzaliwa mwanamke yuko fast kukua kufikia majukumu yake.....because nature need more women as you think...

Kutumia sayansi na kusababisha watu wakawa na maamuzi dhidi ya asili harafu mnakuja kushangaa matokeo ya asili kuharibiwa huo ni ujinga ulio pitiliza...

Kama kila familia itataka kua na mtoto wa kiume nini kitatokea??????

Na kama binadamu ataendelea kupingana na asili, basi fahamu kuanzia sasa ukimuona changudoa au mchepuko jua huyo ni mke wa mtu kiasili,ila kwa klhali aliyonayo sasa ni matokea ya uharibifu wa asili ya mahusiano ya kijamii yaliosababishwa na kanuni,sheria na utaratibu wa kanuni hovyo za kibinadamu....

Na tatizo hili halita isha milele kama tu binadamu akiendelea kipingana na asili....

Kibangubangu present.
 
Back
Top Bottom