Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Shoga ni mtu kama wengine,usiichafue dini kwa kupotosha ukweli...

Shoga anaweza kuwa dini yoyote ile
 
Kuna member wa Jukwaa hili amedai anakereka na hoja au mada za Ushoga kwenye hili jukwaa kwamba akila akichungulia post zote zinazungumzia ushoga. Afu aliyedai kukereka ni mtoto wakike jina nimelihifadhi .

Kati ya wanawake 5 wanawake 2 wanasapoti ushoga, wanawake wamekuwa watu wenye huruma kutetea matatizo wakati wangekuwa mstari wa mbele kabisa kukemea hili janga ila ndo wanaosapoti... wanachodai nikwamba taarifa zinazotolewa sio kweli watu wanasingiziwa yaani ni msiba.

mtaani hapa kuna kijana msafi sana aisee afu ukimuona huwezi kumdhania ila ni shoga daah yeye mitoko yake usiku dah ni balaa.

HURUMA ZENU WANAWAKE ZINAIPELEKA DUNIA PABAYA . maana tunaenda kuwa na wanawake wengi mix na mashoga. Wanaume tunazidi kubaki wachache.
 
Ushoga na Usagaji ni dhambi Afrika kwa Waafrika weusi tu?

Tumeshuhudia kwenye majukwaa ya mitandao jamii zikirushwa taswira za Mashoga kuadhibiwa kikatili (kwa viwango vilivyovuka haki ya binadamu ya kuishi).

Mapapa wanaoendesha laana hii hawaguswi kama wale wa madawa ya kulevya na rushwa kubwa kubwa.

Ushoga na Usagaji vimo miongoni mwetu tangu mataifa yetu yalipopokea na kutekeleza mabadiliko ya mfumo wa maisha mapya yenye ladha ya Kimagharibi na kutujengea uchu mkali unaowaka wa ustaarabu wa Kimagharibi; lakini walikuwa hawasulubiwi kama hivi leo.

Chuki iliyojengwa leo dhidi ya Ushoga na Usagaji ina ulinganifu kwa kiwango na chuki iliyojengwa dhidi ya ukoloni.

Rushwa (adui wa haki) ingepigwa vita kama Ushoga na Usagaji vinavyopigwa vita leo dunia ingekuwa mahali salama kuishi wanyonge.

Swali.
Leo hii akitokea Shoga au Msagaji ambaye siyo Mwafrika lakini aliyeko Afrika amekamatwa je, atasulubiwa (ataadhibiwa) kama Shoga weusi wanavyosulubiwa hadharani kwenye lensi za kamera tena hata bila vyombo vya dola kuingilia kati?

Kama Shoga mweupe hatosulubiwa unadhani ni haki au ni ubaguzi wa rangi?

Kama Shoga mweupe hatosulubiwa unadhani sababu ni nini inayofanya asiwambwe kwenye mti? Tena mbele ya macho ya patrol za Polisi?

_113462846_rehabmoneytranscation-harmalaleaves.jpg

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2580222View attachment 2580225

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sheria kali ipo bongo subili muda tu

USSR
Screenshot_20230328-232220.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hapo chini ni baada ya kufutwa kwa rangi za upinde wa mvua kama ambavyo wengi tunafahamu lakinin kumbe wenzetu walikuwa na maana nyingine tofauti.

Rangi zilizochorwa kwenye mchoro uliofutwa kwenye moja ya nursery schools hapa DSM ilikuwa inatia shaka kwa baadhi ya watu waliokuwa wakipita nje ya uzio wa shule hyo wakishikwa na wasiwasi huwenda watoto humo ndani wanafundishwa mambo ya ushoga ndipo uamzi wa kufuta ukafanyika ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wazazi kwa ujumla.

Niwapongeze bodi ya shule kwa kufuta mchanganyiko wa zile rangi na pia shule zingine kama zimechora michoro ya iana ile watoe ili kutuondolea wasiwasi wazazi juu ya malezi wanayopata watoto wetu wawapo mashuleni..
IMG_20230406_103152_3.jpg
 
Picha hapo chini ni baada ya kufutwa kwa rangi za upinde wa mvua kama ambavyo wengi tunafahamu lakinin kumbe wenzetu walikuwa na maana nyingine tofauti.

Rangi zilizochorwa kwenye mchoro uliofutwa kwenye moja ya nursery schools hapa DSM ilikuwa inatia shaka kwa baadhi ya watu waliokuwa wakipita nje ya uzio wa shule hyo wakishikwa na wasiwasi huwenda watoto humo ndani wanafundishwa mambo ya ushoga ndipo uamzi wa kufuta ukafanyika ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wazazi kwa ujumla.

Niwapongeze bodi ya shule kwa kufuta mchanganyiko wa zile rangi na pia shule zingine kama zimechora michoro ya iana ile watoe ili kutuondolea wasiwasi wazazi juu ya malezi wanayopata watoto wetu wawapo mashuleni..View attachment 2580345
Hiyo bodi ya shule ni wapumbavu na wazazi wawatoe watoto wao hapo wasije kua mazezeta bure
 
✳️MAMA SAMIA USIMUNG'UNYE MANENO,IKIWA KUNA USHOGA SEMA KUNA USHOGA‼️TOA MSIMAMO WA SERIKALI YAKO KWA TAIFA ZIMA KUHUSU HILI WIMBI LA USHOGA‼️

Wakati nchi ipo katika hii sintofahamu ya kuzuka kwa wimbi hili la ushoga, nimesikitishwa sana sana na kauli mbalimbali za Rais wa nchi ya Tanzania,Mama Samia katika hotuba zake kadhaa ambazo ndizo alionekana kama analizungumzia hili wimbi linaloendelea,lakini cha kushangaza eti Rais wa nchi anaogopa hata kulitaja Neno ushoga katika hotuba zake hizo alizosikika akiwa anahutubia bali anamung'unya maneno kwa kuupaka rangi ushoga na kuuita Mila na desturi za nje?

Na Nukuu. " Acheni kuiga ya Nje,Ishini kwa maadili yetu!Wewe mtanzania ujulikane wewe ni mtanzania!!tuna mila na desturi zetu za kitanzania.Ya nje yale tunayoletewa hayatupeleki pazuri!! Amesema mlezi kuna wimbi hilo limeingia sasa hivi!Mimi niwaombe sasa sana ndugu zangu,Muwe mabalozi wa wenzenu!! Walindeni wenzenu!! Hii haki inayosemwa kuwa ni haki ya binadamu,Hizi haki zina mipaka yake! Kila pahali kuna mila na desturi zake.Tusilazimishe mambo ambayo sio mila na desturi zetu tukataka kuletewa kama mila na desturi zetu" ...Asema mama Samia

Zaidi sana kuonyesha Rais amelichulia kiwepesi swala hili ameishia kuwaonya tu viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa waache kuiga mila na desturi za nje ,katika hiyo hotuba yake tena baada ya mlezi wa wanafunzi kuligusia swala hilo kwa kunyoosha maneno "Wanafunzi msijihusishe na Masuala ya mapenzi ya Jinsia Moja yaani Ushoga na usagaji ".

Kwanza,Nimeshangaa sana, Rais wa nchi kushindwa kunyoosha maneno kwa kushindwa hata kuutaja ushoga kwa jina eti anauita mila na desturi za nje⁉️.Hili swala ikiwa Rais ametambua limekuwa ni wimbi sio wakati wa kukaa kimya au kumung'unya maneno kama alivyofanya na kulizungumzia kivificho na kwa juu juu tena na kundi la watu wachache

Pili, sisi wananchi tunachotaka, ni Serikali ije na hotuba maalum ya Taifa na itoe msimamo wa serikali hii ya awamu ya sita ya Mama Samia kuhusu hili wanaloliita wimbi la ushoga na usagaji Tanzania kulingana na Ripoti na taarifa zilizotolewa na Dr Mwakyembe hivi karibuni kubaini kuwa yapo mashirika na taasisi nyingi nchini zilizosajiliwa kabisa Tanzania kufanya uhamasishaji wa maswala ya wapenzi wa jinsia moja

Wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Magufuli, Msimamo ulitolewa kuwa Nchi yetu ya Tanzania inaheshimu mikataba yote ya haki za Binadamu wala haipigi vita ya ushoga na usagaji kama ulivyoanzishwa na Paul makonda wakati ule.Je awamu hii ya sita mpo kinyume na msimamo wa serikali ya awamu ya tano kuhusu msimamo ya maswala ya Ushoga na haki za binadamu?

Tunaiomba Serikali yetu ya Tanzania, kupitia kwa Rais wetu samia ,iweze kutuelimisha jamii, ni mikataba gani hiyo ya haki za binadamu mliyosaini kuilinda na kuitetea haki za mashoga ambayo Serikali hiyo hiyo ya awamu ya Tano ilisema inaiheshimu lilipokuja swala la ushoga? Na ikiwa hamjasaini chochote kwanini mnalalamika mnalazimishwa mkubali mila na desturi ambazo sio za kwenu?

Tatu, wananchi tunahitaji hotuba itakayotupa majibu mengi ya maswali yetu! Tunahitaji kujua hizo asasi za kiraia za haki za binadamu na mashirika yote yanayojihusisha na maswala ya wapenzi wa jinsia moja, Ni nani amewasajili hapa Tanzania ?Yameingiaje nchini ?na hatua gani mnazichukua dhidi yao wote wanaojihusisha na maswal haya ya mapenzi ya jinsia moja ambayo yapo kinyume na sheria zetu za Tanzania?

Nne, Ikiwa Rais ameonyesha kujua kuwa lipo wimbi la ushoga na usagaji katika nchi yake,Ni kwanini mpaka sasa Serikali ipo kimya haijatoa msimamo wake kwa ulimwengu kupinga hizo mila na desturi wanazoziita za kigeni ?Je ni hatua gani serikali imefanya ya kupambana na vita hii au ni watu gani wamekamatwa ili kuwajibishwa kutokana na kujihusisha na vitendo hivi vya mapenzi ya jinsia moja?
 
KUNA SHOGA KALA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA, MAJUZI MBEYA, KWA USHOGA, NADHANI JIBU NA MSIMAMO UTAKUWA UMEUPATA, KWA HILI HAKUNA ROPOROPO.
Tunaweza kutoa matamko tukapalilia tatizo, dawa ni kimyakimya tu.
 
Sidhani kama kuna ukweli ktk hilo.
 
Magufuli alivyomkana Makonda siku zile sina imani tena. Nikajua kuwa majukwaani kinachozungumzwa kingine, na kwenye makaratasi kimeandikwa kingine. Kama Magufuli kupitia waziri alimkataa makonda, mama atafanya nini?
 
Serikali inayotegemea kuishi kwa mikopo ya masharti nafuu na misaada toka nje, haiwezi kuja na msimamo wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom