Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria kali ipo bongo subili muda tuUshoga na Usagaji ni dhambi Afrika kwa Waafrika weusi tu?
Tumeshuhudia kwenye majukwaa ya mitandao jamii zikirushwa taswira za Mashoga kuadhibiwa kikatili (kwa viwango vilivyovuka haki ya binadamu ya kuishi).
Mapapa wanaoendesha laana hii hawaguswi kama wale wa madawa ya kulevya na rushwa kubwa kubwa.
Ushoga na Usagaji vimo miongoni mwetu tangu mataifa yetu yalipopokea na kutekeleza mabadiliko ya mfumo wa maisha mapya yenye ladha ya Kimagharibi na kutujengea uchu mkali unaowaka wa ustaarabu wa Kimagharibi; lakini walikuwa hawasulubiwi kama hivi leo.
Chuki iliyojengwa leo dhidi ya Ushoga na Usagaji ina ulinganifu kwa kiwango na chuki iliyojengwa dhidi ya ukoloni.
Rushwa (adui wa haki) ingepigwa vita kama Ushoga na Usagaji vinavyopigwa vita leo dunia ingekuwa mahali salama kuishi wanyonge.
Swali.
Leo hii akitokea Shoga au Msagaji ambaye siyo Mwafrika lakini aliyeko Afrika amekamatwa je, atasulubiwa (ataadhibiwa) kama Shoga weusi wanavyosulubiwa hadharani kwenye lensi za kamera tena hata bila vyombo vya dola kuingilia kati?
Kama Shoga mweupe hatosulubiwa unadhani ni haki au ni ubaguzi wa rangi?
Kama Shoga mweupe hatosulubiwa unadhani sababu ni nini inayofanya asiwambwe kwenye mti? Tena mbele ya macho ya patrol za Polisi?
View attachment 2580222View attachment 2580225
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hiyo bodi ya shule ni wapumbavu na wazazi wawatoe watoto wao hapo wasije kua mazezeta burePicha hapo chini ni baada ya kufutwa kwa rangi za upinde wa mvua kama ambavyo wengi tunafahamu lakinin kumbe wenzetu walikuwa na maana nyingine tofauti.
Rangi zilizochorwa kwenye mchoro uliofutwa kwenye moja ya nursery schools hapa DSM ilikuwa inatia shaka kwa baadhi ya watu waliokuwa wakipita nje ya uzio wa shule hyo wakishikwa na wasiwasi huwenda watoto humo ndani wanafundishwa mambo ya ushoga ndipo uamzi wa kufuta ukafanyika ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wazazi kwa ujumla.
Niwapongeze bodi ya shule kwa kufuta mchanganyiko wa zile rangi na pia shule zingine kama zimechora michoro ya iana ile watoe ili kutuondolea wasiwasi wazazi juu ya malezi wanayopata watoto wetu wawapo mashuleni..View attachment 2580345
WhyHiyo bodi ya shule ni wapumbavu na wazazi wawatoe watoto wao hapo wasije kua mazezeta bure
Sidhani kama kuna ukweli ktk hilo.KUNA SHOGA KALA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA, MAJUZI MBEYA, KWA USHOGA, NADHANI JIBU NA MSIMAMO UTAKUWA UMEUPATA, KWA HILI HAKUNA ROPOROPO.
Tunaweza kutoa matamko tukapalilia tatizo, dawa ni kimyakimya tu.
Fuatilia habari mkuu Acha kufuata miigizo hata Google basi ili ufahamu nini kimejiri Mbeya Majuzi.Sidhani kama kuna ukweli ktk hilo.