Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Hata sasa nimepitia kucheki nchi zote hizo, zote zinaweka adhabu kali kwa LGBTQ... sasa wewe imetolea....unless unasema kwa chuki ya kidini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa nimepitia kucheki nchi zote hizo, zote zinaweka adhabu kali kwa LGBTQ... sasa wewe imetolea....unless unasema kwa chuki ya kidini.
Ulimi tu ulimteleza...au huenda hakua anamaanisha hivyo..au huenda pia kwa kuwa yeye ni mama na anaujua uchungu wa mwana...aliongea kama kuwatetea watoto bila kujua sentensi yake itakua na mapokeo gani katika fikra za watuTatizo namba moja kasema wakubwa wafanyiane tu
Ushoga sio tofauti na aibu nyingine kama uasherati, uzinzi, usagaji, nk na haya yashughulikiwe pia nayo yataleta ukame nchini.Ndugu zangu,
Haya mambo ya USHOGA yasipokemewa katika Taifa letu...athari zake sio tu kuharibu vizazi kama wengi wasemavyo...bali Nchi itakumbwa na baa la njaa haijawahi kutokea. Mvua itagoma kunyesha....maisha yatakua magumu sana mpaka IKULU.
Tusifanye mchezo kabisa na suala hilo. Tuweni wakali kuanzia ngazi ya familia, Jamii hadi Taifa. Ni jukumu letu sote kuhakikisha Taifa letu linakua salama muda wote, sio kuviachia vyombo vya Ulinzi na Usalama pekee. Tushirikiane kwa pamoja kuiondoa aibu hii katika Nchi yetu Takatifu ya TANZANIA.
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA".
Hii kitu ipo kitambo sana....ilikua ikifanyiwa chumbani....now they want it kuifanyia sebuleni....bila kujali watoto, wageni,..mila, desturi, tamaduni.....Tatizo mnavyozidi kuongea ndo mnaupa promo
Ulimi tu ulimteleza...au huenda hakua anamaanisha hivyo..au huenda pia kwa kuwa yeye ni mama na anaujua uchungu wa mwana...aliongea kama kuwatetea watoto bila kujua sentensi yake itakua na mapokeo gani katika fikra za watu
Ndio maana nikasema, Uongozi maana yake ni kuwaongoza watu kwa kutumia HEKIMA na BUSARA .....Hekima ni kwà ajili ya kugusa UTASHI wa watu , na Busara ni kwà ajili ya kuzishika FIKRA za watu.Alikuwa anajua alichoongea kabisa.
Kwa hiyo kauli yake bila shaka kuna kitu anakijua vizuri kuhusu Ushoga hapa nchini na "nadhani" alitaka kutowaudhi hao "mashoga wakubwa".
😂😂😂 ndio mwanafunzi ndio maana nakuita fataki
Ujumbe lazima utawafikia ya kwamba, "TANZANIA USHOGA HAUKUBALIKI"Kesho mnahudhuria matamasha yenu
Ya mziki sijui bongo movie,huko wamejaaa kibaooo
Ova
Kwamba ukaombwa namba na mwanaume mwenzako ambaye mmekutana tu kwenye daladala, kisha ukampa?Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.
zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.
Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.
Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.
Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya
Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Iko hivi, Serikali ni sisi, na pia Serikali hiyo hiyo ina vyombo vya Ulinzi na Usalama. Nafikiri hapa , ni suala la ushirikiano tu...I mean ...sisi WANANCHI kwakua tayari tunawajua mashoga , tunaomba ushirikiano na vyombo vya Ulinzi na Usalama..tuingie makubaliano, mapatano na maelewano ...mfano..;Nikweli tunakataa ushoga ila mbona mtaani wamejaa na hatuwafanyi kitu na wanajulikana...
Ifike pahala tuache unafiki na thread za kichochezi,kama hili jambo linakuuma inatakiwa tusikie umemuua shoga hapo mtaani kwako...
Sio kila siku makelele humu mwisho mtakua kama mnapromoti ushoga...
Noma sana,juzi kati yaliweka party yao mtaan dah...Iko hivi, Serikali ni sisi, na pia Serikali hiyo hiyo ina vyombo vya Ulinzi na Usalama. Nafikiri hapa , ni suala la ushirikiano tu...I mean ...sisi WANANCHI kwakua tayari tunawajua mashoga , tunaomba ushirikiano na vyombo vya Ulinzi na Usalama..tuingie makubaliano, mapatano na maelewano ...mfano..;
Sisi tuwe tunawapa details wao...halafu wao wanashikisha adabu kimyakimya....
But kama tukianza sisi kutake action...maana yake tutaonekana tumefanya makosa ( tumejichulia SHERIA mikononi)
Kiufupi, wenzetu ndio wanadelay kuanzisha utaratibu wa namna ya kukabiliana na mashoga. Labda huenda hata huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kuna mashoga yameshika nyazifa who knows....na ndiyo yanayochelewesha zoezi hili lisifanyike.