Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hata sasa nimepitia kucheki nchi zote hizo, zote zinaweka adhabu kali kwa LGBTQ... sasa wewe imetolea....unless unasema kwa chuki ya kidini.
 
Attachments

  • IMG_20210814_110155.jpg
    IMG_20210814_110155.jpg
    46.2 KB · Views: 10
Ndugu zangu,

Haya mambo ya USHOGA yasipokemewa katika Taifa letu...athari zake sio tu kuharibu vizazi kama wengi wasemavyo...bali Nchi itakumbwa na baa la njaa haijawahi kutokea. Mvua itagoma kunyesha....maisha yatakua magumu sana mpaka IKULU.

Tusifanye mchezo kabisa na suala hilo. Tuweni wakali kuanzia ngazi ya familia, Jamii hadi Taifa. Ni jukumu letu sote kuhakikisha Taifa letu linakua salama muda wote, sio kuviachia vyombo vya Ulinzi na Usalama pekee. Tushirikiane kwa pamoja kuiondoa aibu hii katika Nchi yetu Takatifu ya TANZANIA.

Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA".

Asanteni sana.

Ni wenu, Muaminifu, Mtiifu, Mnyenyekevu na Mzalendo.

M.K

Mzee Kipusa
 
Tatizo namba moja kasema wakubwa wafanyiane tu
Ulimi tu ulimteleza...au huenda hakua anamaanisha hivyo..au huenda pia kwa kuwa yeye ni mama na anaujua uchungu wa mwana...aliongea kama kuwatetea watoto bila kujua sentensi yake itakua na mapokeo gani katika fikra za watu
 
Ndugu zangu,

Haya mambo ya USHOGA yasipokemewa katika Taifa letu...athari zake sio tu kuharibu vizazi kama wengi wasemavyo...bali Nchi itakumbwa na baa la njaa haijawahi kutokea. Mvua itagoma kunyesha....maisha yatakua magumu sana mpaka IKULU.

Tusifanye mchezo kabisa na suala hilo. Tuweni wakali kuanzia ngazi ya familia, Jamii hadi Taifa. Ni jukumu letu sote kuhakikisha Taifa letu linakua salama muda wote, sio kuviachia vyombo vya Ulinzi na Usalama pekee. Tushirikiane kwa pamoja kuiondoa aibu hii katika Nchi yetu Takatifu ya TANZANIA.

Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA".
Ushoga sio tofauti na aibu nyingine kama uasherati, uzinzi, usagaji, nk na haya yashughulikiwe pia nayo yataleta ukame nchini.
 
Tatizo mnavyozidi kuongea ndo mnaupa promo
Hii kitu ipo kitambo sana....ilikua ikifanyiwa chumbani....now they want it kuifanyia sebuleni....bila kujali watoto, wageni,..mila, desturi, tamaduni.....

Ni vyema tukaipigia kelele / kuifukuza ili irudi ilikokua. Ni aibu na fedheha jambo hili kufanyika na kukubalika waziwazi katika Taifa.

Lazima tulipinge kama tupingavyo matumizi ya madawa ya kulevya au ufisadi. Ukigundulika au ukibainika wazi wazi lazima uadabishwe na SHERIA ichukue mkondo wake.
 
Ulimi tu ulimteleza...au huenda hakua anamaanisha hivyo..au huenda pia kwa kuwa yeye ni mama na anaujua uchungu wa mwana...aliongea kama kuwatetea watoto bila kujua sentensi yake itakua na mapokeo gani katika fikra za watu

Alikuwa anajua alichoongea kabisa.

Kwa hiyo kauli yake bila shaka kuna kitu anakijua vizuri kuhusu Ushoga hapa nchini na "nadhani" alitaka kutowaudhi hao "mashoga wakubwa".
 
Kesho mnahudhuria matamasha yenu
Ya mziki sijui bongo movie,huko wamejaaa kibaooo

Ova
 
Alikuwa anajua alichoongea kabisa.

Kwa hiyo kauli yake bila shaka kuna kitu anakijua vizuri kuhusu Ushoga hapa nchini na "nadhani" alitaka kutowaudhi hao "mashoga wakubwa".
Ndio maana nikasema, Uongozi maana yake ni kuwaongoza watu kwa kutumia HEKIMA na BUSARA .....Hekima ni kwà ajili ya kugusa UTASHI wa watu , na Busara ni kwà ajili ya kuzishika FIKRA za watu.

Nafikiri, kwakua Mama alitumia Busara PEKE yake katika kuliongelea suala hilo, ndio maana mtizamo wa watu wengi wameona kama anaunga hoja au anakubaliana na masuala hayo ya USHOGA..la hasha!!!

Rais wetu ni Muislam grade A, amekulia katika uislamu pale MWANAKWELEKWE..hayo mambo hawezi kamwe kukubaliana nayo ..abadan...

Hayo mambo kwake ni Haram .... astakafirura!!!
 
Naandika apa nikiwa nimevurugwa sana.

zamani kipindi natumia Instagram nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na mashoga kitu ambacho kilipelekea kufuta posts zangu zote na kuacha kutumia Instagram yapata miaka miwili sasa, Mara mojamoja naingia kwa kutumia akaunti ya Biashara.

Kiukweli ilo tatizo naweza kusema liliisha au kupungua kwa kiasi chake mpaka mwaka huu baada ya kupost kule MMU kuwa naitaji Rafiki wa Kike akajitokeza na shoga mmoja pm ila nilidili nae kwa kumpa vitisho vikali akaacha kunisumbua.

Sasa leo kuna huyu mmoja nmekutana nae kwenye daladala muda nakuja kariakoo kaniomba namba nikampa alivoshuka tu Buguruni akaanza kunitumia meseji zake za ajabu ajabu ikabidi nimtie block kwanza kila sehemu.

Nipeni dawa yao hawa wapuuzi maana wanataka kunizoea vibaya. Apa nina mpango wa kumuunblock huyu jamaa af nimwambie tukutane niwaseti wahuni wamfanye kitu mbaya

Imagine notification inaingia kwenye simu kufungua unakuta "mambo hensam wangu" af kutoka kwa mwanaume mwenzio
Kwamba ukaombwa namba na mwanaume mwenzako ambaye mmekutana tu kwenye daladala, kisha ukampa?

Kuna kitu unajaribu kukisema hapa indirectly ila wajanja tumeshakuelewa, acha hizo tabia.
 
Nikweli tunakataa ushoga ila mbona mtaani wamejaa na hatuwafanyi kitu na wanajulikana...

Ifike pahala tuache unafiki na thread za kichochezi,kama hili jambo linakuuma inatakiwa tusikie umemuua shoga hapo mtaani kwako...

Sio kila siku makelele humu mwisho mtakua kama mnapromoti ushoga...
 
Iko hivi, Serikali ni sisi, na pia Serikali hiyo hiyo ina vyombo vya Ulinzi na Usalama. Nafikiri hapa , ni suala la ushirikiano tu...I mean ...sisi WANANCHI kwakua tayari tunawajua mashoga , tunaomba ushirikiano na vyombo vya Ulinzi na Usalama..tuingie makubaliano, mapatano na maelewano ...mfano..;

Sisi tuwe tunawapa details wao...halafu wao wanashikisha adabu kimyakimya....

But kama tukianza sisi kutake action...maana yake tutaonekana tumefanya makosa ( tumejichulia SHERIA mikononi)

Kiufupi, wenzetu ndio wanadelay kuanzisha utaratibu wa namna ya kukabiliana na mashoga. Labda huenda hata huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kuna mashoga yameshika nyazifa who knows....na ndiyo yanayochelewesha zoezi hili lisifanyike.
 
Noma sana,juzi kati yaliweka party yao mtaan dah...
Inatakiwa kujitoa sana ndio tutaweza kudhibiti
 
Back
Top Bottom