Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar
Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar
Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao
Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu
Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8
Hali ni mbaya sana hapa Dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume, Mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?