Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Noma sana,juzi kati yaliweka party yao mtaan dah...
Inatakiwa kujitoa sana ndio tutaweza kudhibiti
Sisi tuko tayari kama WANANCHI....tatizo lipo kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Leo hii ukimtoa ngeu shoga mmoja....unaishia kuswekwa ndani kolokoloni.

#SerikaliInawalindaMashoga
 
Nikweli tunakataa ushoga ila mbona mtaani wamejaa na hatuwafanyi kitu na wanajulikana...

Ifike pahala tuache unafiki na thread za kichochezi,kama hili jambo linakuuma inatakiwa tusikie umemuua shoga hapo mtaani kwako...

Sio kila siku makelele humu mwisho mtakua kama mnapromoti ushoga...
We kwenu Zenjibar si ndiyo lango lililoingiza laanatulah hii bara? Maingiliano ya Tigo Channel si yalianzia huko Mchambawima, Bububu na Chokocho.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mwoga maisha ni ungekuwa sio mwoga usingepost hapa ungekuwa kama Samia huyu mama kaongea hadharani wewe umejificha kwenye hii ID yako tu unaongea wanaume marijali wanajitokeza wanaongezeka wanapiga marufuku kitu au jambo linalo adhiri kitu Fulani .

Mashoga watakuwepo na wataendelea kuwepo wanaume marijali watakuwepo na wataendelea kuwepo so utajijua .
 

Psychological abuse (Unyanyasaji wa kisaikolojia)​


Psychological abuse, often called emotional abuse, is a form of abuse characterized by a person subjecting or exposing another person to a behavior that may result in psychological trauma, including anxiety, chronic depression, or post-traumatic stress disorder

Naomba wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum itoe ufafanuzi ni kwani mashirtika yaliyobanika kufundisha ,kushawishi watoto wetu wa kiume kuwa mashoga ,wasichukuliwe hatua za kisheria ?
 
Kama Taifa lipo Salama na litaendelea kuwa salama kwa kua na Ulinzi wa namna ya hao na Nguvu kazi kwa ujumula wake. Serikali ilipuuze suala hili manake kulisemea na kulichukulia hatua ni kulitangaza na kulipa nguvu.
.
.
.
Afande wa Zenj Field Force Unit
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa Dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume, Mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
LGBTQ community is real and serious, na wapo chini uongozi wa Taifa lenye nguvu pia wanaosapoti harakati zao wana influence kubwa.

Lengo letu ni kulinda tamaduni zetu na kwamba hili swala hatulitaki basi msimamo wetu ujulikane, kupuuzia uwepo wa hii kitu haitafanya kipotee. Maana kabla halijaletwa Bungeni tulkuwa tumelpuuzia ila nd kpindi hiko lilkuwa lnasambaa kwa kasi.
 
Tundu lissu akiwa katika mahojiano na Jambo tv amesema:
"Mapenzi ya jinsia moja sio haki za binadamu, nchi hii tulitungiwa sheria na Waingereza mwaka 1934 ya kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, hiyo sheria ikaongezwa makali mwaka 1959, 1998 ikaongezwa makali zaidi na kuongeza vifungu maalum vya makosa ya ngono"
 
Habari kutoka vyanzo vya uhakika zinasema huko mjini hakuna kificho tena.

Hata sensa ikipita leo nchi itakuwa ya wanawake almost all.
 
Back
Top Bottom