Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwanini ukatae kupimwa hali ya kuwa unajijua 100% wewe sio shoga ?

Sababu yako ya kukataa inaweza kuwa ni nini mkuu ?

Hata hivyo hio njia ya upimaji ya kupitisha vidole una uhakika ndio njia inayotumika kubaini mashoga huk wanakopelekwa (hospital) ?.

What if kuna njia nzuri tu ya kutambua Mwanaume/Mwanamke anaeingilia kinyume. Hapo pia bado patakua panahitaji idhini yako ?
 
Mi sijafunzwa matusi... nimekuuliza swali dogo tu, Naomba vifungu vya sheria naona unarukaruka... wewe unadhani bila sheria hawa watu wataadhibiwa?

Yetu macho, huu uzi upo hapa, kama sheria haijafuatwa hawa watu hawawezi kutiwa hatiani..
Wameachiwa huruuu mbna mdaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo tukukaguwe na wewe roho ya Mungu mwili wa serikali tulia atiwe dole likipita anakula mvua watu waupinde watafute pakuishi
 
Mkuu
Mahakama ndiyo chombo pekee chenye kutoa amri za kisheria.

Labda katika ile hati ya amri ya mahakama ya kuwapima uimara wa marinda watuhumiwa waliofikishwa mbele yake hawwkuweka vifungu kubackup ile agizo. Lakini kisheria Mahakama ina uwezo wa kuamuru upimwe bila ridhaa yako.

Watakuja wenye vifungu hapa lakini nadhani tuangalie kwa kina, kwa nini mabasha hawaguswi? Je wanatambuliwaje bila kukutwa kwenye tukio?

Sheria ina vikona kona vingi vinavyohitaji Mahakama kuvitafsiri.
Na mimi ndo ninetaka kujua hiyo sheria ni kufungu kipi.... naona kama tunafanya assumption sana kwenye hili suala nyeti
 
GOOD NEWZ!!!

Noel na Kelvin wameachiwa huruuu,
David aliachiwa tangu janaaa.

Ahsantee Jah kwa kuleta Amani tenaaa.
 
Kuna wapumbavu humu hawakuelewi ila siku wakikumbana na hali hii watakumbuka sana haya maandishi.

Kipindi cha magufuli ilikuwa ni kawaida ukitofautiana na serikali unakamatwa unawekwa ndani kwa kisingizio kwamba wanakupima kama ulishawahi au unatumia madawa ya kulevya.... Tuliona kina Mh mbowe, manji, wema sepetu nk wakiwekwa mahabusu huku wskisubiria kupimwa kama wanatumia madawa hayo ya kulevya.

Sasa bora wakati huo! Chukulia sasa wewe ni fulani uko na familia yako sebuleni hujui hili wala lile ila ghafla tu unasikia kwenye runinga kwamba unahitajika ukapimwe kama wewe ni shoga au pengine umeshawekwa mahabusu ila taarifa zinafika kwa familia yako kwamba upo chini ya ulinzi na unahitajika ukapimwe.

Kuna namna ya kuwakamata mashoga maana wanatambulika kwenye jamii ila sio hii ya kumhisi mtu tu na kwenda kuchomeka vidole kwenye chemba ya choo! Huu ni udhalilishaji kwa wale watakaokuwa wamehisiwa

Viongozi wa serikali wa sasa wasipotafakari kwa makini watakuja wawe wahanga wa huu udhalilishaji maana tumezoea kuna tabia ya kudhalilishana na kukomoana kila awamu inapobadilika.

Tafakari
 
Kwanini ukatae kupimwa hali ya kuwa unajijua 100% wewe sio shoga ?

Sababu yako ya kukataa inaweza kuwa ni nini mkuu ?

Hata hivyo hio njia ya upimaji ya kupitisha vidole una uhakika ndio njia inayotumika kubaini mashoga huk wanakopelekwa (hospital) ?.

What if kuna njia nzuri tu ya kutambua Mwanaume/Mwanamke anaeingilia kinyume. Hapo pia bado patakua panahitaji idhini yako ?
Hujanielewa, mim sikatai order ya mahakama, nilichohoji mimi ni sheria ipi imetumika kuipa mahakama nguvu kumuamuru mtu akapimwe ushoga?
 
Back
Top Bottom