Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Watanzania wengi hata Kiingereza hawajui, hivyo hata wakiwa katika internet hawafaidiki na mambo mengi ambayo hayajaandikwa vizuri Kiswahili.Ni ukosefu wa exposure. Haya ni mambo ya kawaida sehemu nyingi duniani! Ubalozi hauwezi kufanya chochote.
Ndiyo maana unakuta exposure katika mambo ya libertarianism, individual rights, rights of minorities, gender/ sexual orientation non discrimination, body autonomy, universal declaration of human rights etc ni mambo fulani mageni sana kwao.
Na wengine hata wakifika nje bado ule ukoko wa fikra za mkumbo za Kitanzania unakuwa bado haujawatoka.
Lakini, wengine wako sharp sana wana uelewa mkubwa sana wa kujiongeza wenyewe hata bila ya kutoka Tanzania.
So, I am not surprised.