Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ni ukosefu wa exposure. Haya ni mambo ya kawaida sehemu nyingi duniani! Ubalozi hauwezi kufanya chochote.
Watanzania wengi hata Kiingereza hawajui, hivyo hata wakiwa katika internet hawafaidiki na mambo mengi ambayo hayajaandikwa vizuri Kiswahili.

Ndiyo maana unakuta exposure katika mambo ya libertarianism, individual rights, rights of minorities, gender/ sexual orientation non discrimination, body autonomy, universal declaration of human rights etc ni mambo fulani mageni sana kwao.

Na wengine hata wakifika nje bado ule ukoko wa fikra za mkumbo za Kitanzania unakuwa bado haujawatoka.

Lakini, wengine wako sharp sana wana uelewa mkubwa sana wa kujiongeza wenyewe hata bila ya kutoka Tanzania.

So, I am not surprised.
 
Hapo sasa.
Hao wanaharakati wameona fursa Acha wazipige Pesa za mabeberu
Unalazimisha uanaharakati huu uwe wa kupiga pesa za fursa.

Kwa mtu ambaye humjui na huna ushahidi kwamba anafanya hilo kwa kupiga pesa za fursa.

Kifupi, bila kuthibitisha kuwa huyu ni mwanaharakati wa fursa tu kweli, wewe ni mzushi tu.
 
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app

Sasa huyo anayeandamana Huko ujerumani Wakati hakuna tishio lolote Kwa hao mashoga Kwa kiwango hicho huoni kama hiyo ni njama ya aidha kutafuta kupiga Pesa za mabeberu au kuutangaza huo ushoga?

Mimi sijaona sheria Kali kwenye Hii nchi za kuwafanya hao mashoga waandamane,
 
Nani kakwambia Ujerumani hakuna tishio?

Nani kakwambia huyo anaandamana kwa ajili ya Ujerumani tu?

Wapi umethibitisha kwamba anaandamana ili kupiga pesa?
 
Hakuna mtu anayeweza kufanya hayo Tanzania kwa ujumla ila haimaanishi ushoga na usagaji Geita haupo.

Kwa mambo ya kifala kama haya Geita iko juu sana it's my home town
ok basi aje tuh geita kwa mapumziko, uzuri tumesha mark sura yake
 
Ametumia haki yake ya kikatiba kujieleza.

Tanzania haiwezi kumchukulia hatua huyo kwa sababu imesaini mikataba ya kimataifa ya kutetea haki za watu bila kuwabagua kwa misingi ya sexual orientation.

Ndiyo maana hata akili ndogo Makonda alivyoanzisha vita dhidi ya watu hawa, akili kubwa Waziri wa Mambo ya Nje marehemu Balozi Dr. Augustine Mahiga alimkana na kusema hiyo ni kauli binafsi ya Makonda, si msimamo wa serikali.

Dr. Mahiga hakuwa mjinga kusema vile, anajua nchi imesaini mikataba gani na ikiikiuka hilo litakuwa na maana gani katika diplomasia ya kimataifa, hata kama hapa nyumbani serikali inaweza kuwapelekapeleka tu inavyotaka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji39][emoji39][emoji3578][emoji3578]
 
Watanzania wengi hata Kiingereza hawajui, hivyo hata wakiwa katika internet hawafaidiki na mambo mengi ambayo hayajaandikwa vizuri Kiswahili.

Ndiyo maana unakuta exposure katika mambo ya libertarianism, individual rights, rights of minorities, gender/ sexual orientation non discrimination, body autonomy, universal declaration of human rights etc ni mambo fulani mageni sana kwao.

Na wengine hata wakifika nje bado ule ukoko wa fikra za mkumbo za Kitanzania unakuwa bado haujawatoka.

Lakini, wengine wako sharp sana wana uelewa mkubwa sana wa kujiongeza wenyewe hata bila ya kutoka Tanzania.

So, I am not surprised.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578]

Ukoko wa fikra za Kitanzania [emoji1787]
 
Alitengenezwa, lakini bongo ataisikia.
Inawezekana...Mambo Ni mengi...

Huyu aliundwa maalum kumu attack mwenda..,maana baada ya hapo kawa kimya na Kuna mengi yanatokea haongei!...

Sasa hivi kazi take Ni kutoa watu kwenye reli!
Na mama alikwenda wakaonana!
 
Sawa kabisa, Mama kawatoa wengi sana hasa wapenda kiki.
 
Back
Top Bottom