Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Siwatetei, siwapendi na naamini ni kinyume cha what nature intend. Ila Kwanini ushoga hauishi kwenye jamii mpaka itumike nguvu? Inamaana kuna wanafiki wanaufanya gizani halafu wanatupigia kelele hadharani.
Heri wafanye huko gizani sio mtu anakuja kukata uno ukumbini namna hii ni aibu kubwa mnoo hii wengine hasira Huwa zipo karibu unaweza mnyonga ukaishia jera ndio maana tunaomba serkali itupe ruhusa tuwashughulikie
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Inashindwa kuwanyonga mafisadi na wahujumu uchumi ,wanaokwamisha maendeleo ya nchi hii. Iende kuwanyonga kundi dogo lisilo na athari yoyote kwa maendeleo ya nchi.
Heri hata fisadi kuliko shoga!! Maana shoga wa Leo ndiye fisadi la kesho iwapo tu hii tabia itabarikiwa na kuwa ya kawaida
 
Serikali ina nguvu sana kuliko sheria tu kali inaangamiza hili tatizo
Siyo kweli hata kidogo . Nyuma ya serikali yako unayoiona wewe kuwa Ina nguvu Kuna serikali isiyoonekana Kwa macho yako yenye nguvu zaidi . Marais wengi hawakubaliani na huu uovu lakini hawana namna Kwa sababu na wenyewe wanaongozwa na usiowajua wewe . BAADA YA KUSEMA HIVYO , AFRIKA HAINA RAIS MWENYE UTHUBUTU WA KULIPINGA HILI ...
 
Heri wafanye huko gizani sio mtu anakuja kukata uno ukumbini namna hii ni aibu kubwa mnoo hii wengine hasira Huwa zipo karibu unaweza mnyonga ukaishia jera ndio maana tunaomba serkali itupe ruhusa tuwashughulikie
Boss, Ndo unafiki ninaoongelea. Kutokuwa na nia ya dhati ya kupigana na huo ushoga ila mdomoni na mitandaoni una hasira kweli. Yaani hapo wewe ulikuwa na haki kabisa ya kumfungulia mashtaka huyo shoga na akakamatwa.

Ungeweza kwenda polisi na ukachukua rb ya kumkamata kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ukasimama mahakamani ukatoa ushahidi akahukumiwa. Kwanini hufanyi hivyo?
 
Hakuna kiongozi mwenye uthubutu wa kusimama na kuupinga ushoga, HAKUNA!
Kwa africa kuna mzee MUSEVEN Pekee yake.
Mashoga ni matokeo ya agenda za usawa wa kijinsia, ongezeko la talaka, na malezi ya mzazi mmoja.
Dawa ya mashoga ni kuua kimya kimya, popote utakapo liona.
Sheria inakukaba koo unaishia jera
 
Mashoga wako dhahidi wala hawajifichi
Hata bila kuwatafuta utawaona

Hii ni hatari kwa maadili na tamaduni za Mtanzania

Tutakuja kupata kizazi cha ovyo, hii tamaduni ya ushoga haifai ni aibu sana

Ni uchungu kwetu wazazi tutawalea vip watoto wakati kwenye jamii wanaona mashoga yapo na yananadi ushoga

Ushoga sio jambo binafsi inaathiri jamii nzima na maadili yetu

Serikali kama inapiga vita bangi inashindwa ushoga
Bangi ni Biashara ya wakubwa , hivyo serikali kuipinga haimaanishi inakupenda wewe mwananchi , lahasha !
 
Siyo kweli hata kidogo . Nyuma ya serikali yako unayoiona wewe kuwa Ina nguvu Kuna serikali isiyoonekana Kwa macho yako yenye nguvu zaidi . Marais wengi hawakubaliani na huu uovu lakini hawana namna Kwa sababu na wenyewe wanaongozwa na usiowajua wewe . BAADA YA KUSEMA HIVYO , AFRIKA HAINA RAIS MWENYE UTHUBUTU WA KULIPINGA HILI ...
Wewe binafsi unaisaidiaje jamii yako kuufuta ushoga? Nyuma yako yupo nani anayekuzuia?
 
Sheria inakukaba koo unaishia jera
Hakuna kitu, uongo uongo na unafiki. Muulize mtu mwenye hasira kali ni lini alishawahi kamata shoga akalipeleka polisi halafu akakamatwa yeye. Uhalisia ni kwamba, hapa kwetu watu hawapigani na ushoga kwa vitendo zaidi ya maneno. Pere pere mingiiiii.

Mkuu bora kujikita kwenye kuhakikisha mkeo haolewi ukifa. Hili la ushoga unajidanganya.
 
Umewahi kugombana na Mtu akiwa ameshika mpini wa panga na wewe ukashika makali ? Ndivyo Dunia ilivyo , there are things you can't change at all in this life .
Ww kamata shoga, peleka polisi litashughulikiwa maana sheria zipo wazi. Au achana nayo usiyatafute na kuyafuatilia kama wengine tunavyofanya.
 
Kwamba kila unayemhisi shoga unanyonga? Au wanaume wote soft soft watapimwa njia ya haja kubwa? Utatumika ushahidi gani kupitisha adhabu ya kunyonga?

Mashoga yakikaa sirini huko achaneni nayo msiyafuatilie. Sheria zetu zinajitosheleza kuhusu ushoga.
Mashoga kama hawa wanaojionyesha hadharani wanahitaji uashahidi gani kunyongwa?
 
Unataka nani amkamate sasa na wewe ndo upo nae hapo hadharani? Wewe uliyekaribu unayeshuhudia tukio la uhalifu ndo wa kwanza kuchukua hatua.
Polisi wana kazi gani? Ikiwa mhalifu anaweza kutekeleza uhalifu wake polisi wakapeleleza hadi kumtia nguvuni wanashindwaje kuwakamata hawa macchoko wanaotamba hadharani?
 
Back
Top Bottom