Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Afunguke tu, wateja haezi kosa. Kuna akina Pdidy👇
Bc ww tangaza biashara zako tuu mana wateja huwezi kuwabagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afunguke tu, wateja haezi kosa. Kuna akina Pdidy👇
Bc ww tangaza biashara zako tuu mana wateja huwezi kuwabagua
Mimi ni fundi nadeal na ujenzi nina group ambalo watu wanatuma link za magroup mbali mbali wengine hawaandik group linahusu nn mpka uingie huko ndio utajuaBiashara yako ni gani? Kabla ya kujoin ungeona pale pale group linahusu nini kabla hujaruhusu kuingiapo.
HahahahaAfunguke tu, wateja haezi kosa. Kuna akina Pdidy
NawasiwasiAcha zako ww
Sasa hivi ili kujipa ujasiri utasikia DIni zimeletwa 😛 😛
Ushindwe na ulegeealikua anafurahia huyu asijifanye inocent😂😂😂ndo wale wanashikwa tako wanacheka cheka wakipapaswa sifuri ndo wanajifanya kushtuka
Mwanaume kutumia hii kauli napatwa mashaka nae. Eti Mbaga JrUshindwe na ulegee
Kiongoz tunahamasisha kuombea taifaMods onganisheni hizi nyuzi!! Kila wiki watu wanapandisha halafu hazina maana ujinga mtupu
Alokwambia mashoga wanajenga nani??Mimi ni fundi nadeal na ujenzi nina group ambalo watu wanatuma link za magroup mbali mbali wengine hawaandik group linahusu nn mpka uingie huko ndio utajua
Wamegusa masilahi yako auMods onganisheni hizi nyuzi!! Kila wiki watu wanapandisha halafu hazina maana ujinga mtupu
Hayo magroups yamekuja vp kwenye wasap yako?
Hayo majinga Mungu now days ameamua kuyaacha tu sababu magonjwa yao yapo karibuUngetuwekea hiyo link kwanza ili nikisha shuhudia hayo unayo yasema nipate msukumo wa kufanya maombi vzri …. I mean ile nguvu ya kumshawishi Sir God iwepo
Mzee acha kuzingua mm sio papaiMwanaume kutumia hii kauli napatwa mashaka nae. Eti Mbaga Jr
Naona wamegusa ya kwako ndio maana comment yangu imekuumaWamegusa masilahi yako au
unawezekana si papai ila ni mteja wa mapapaiMzee acha kuzingua mm sio papai
Unapoomba lazima uwe na key termsKwanini tuliombee sasa, kwani huko nyuma hakukua na maombi, kama yalikuwepo kwa nini hayajafanya kazi hadi sasa tuombe upya? Je kama huko nyuma kulikua na maombi na hayakufanya kazi, sasa tuna uhakika gani tukiomba yatafanya kazi?
Haya mambo ya maombi hayana maana yoyote ni kupoteza muda tu. Dini ni mambo ya kitapeli.