Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hili ni tatizo jipya kwa ulimwengu mzima, na wa magharibi ndio wanapambania saana hili janga lienee, kuanzia katuni, movies, michezo yaani kila sekta.. Tujitahidi kuzuia kwenye level ya familia, ila kwa jamii nzima ngumu, ukizingatia hata serikali yetu haijachagua upande rasmi, ni wapo wapo tu, kina juma lokole wanatangaza vituo vya habari huko na wengineo wengi.
 
Mimi ni fundi nadeal na ujenzi nina group ambalo watu wanatuma link za magroup mbali mbali wengine hawaandik group linahusu nn mpka uingie huko ndio utajua
Alokwambia mashoga wanajenga nani??
Hao wanataka vitu laini laini kukaa hotelin mageto ya kupanga makali sasa hapo hujanishawishi kwamba unajiunga grup la mashoga ukatangaze ujenzi!!
labda kama unauza urembo
 
Afu pia tuwe makini, wanaovutiwa kufatilia na kuzungumzia habari za ushoga na usagaji ndio hao hao wanajopo. Things are upside down na ninaushahidi,
 
Kwanini tuliombee sasa, kwani huko nyuma hakukua na maombi, kama yalikuwepo kwa nini hayajafanya kazi hadi sasa tuombe upya? Je kama huko nyuma kulikua na maombi na hayakufanya kazi, sasa tuna uhakika gani tukiomba yatafanya kazi?

Haya mambo ya maombi hayana maana yoyote ni kupoteza muda tu. Dini ni mambo ya kitapeli.
 
Unapoomba lazima uwe na key terms
 
Back
Top Bottom