Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jamii tuliyonayo imeshaharibika hata itiwe ndimu haisaidii kitu, cha muhimu ninachokiona ambacho kitasaidia kupunguza (Sio kuondoa) tatizo tulilonalo ni kuwa kila mmoja wetu apaze sauti yake kuanzia ngazi ya familia, ukoo na hata jamaa zake katika kuwaelezea tatizo hili, nahisi kwa kiasi fulani itasaidia.
Kila mmoja wetu na atimize wajibu wake.​
Tukiungana kwa pamoja kama watz na tukakubaliana hili suala tuwakabizi wazee wa kukata suluwali (Masuni), kesho asubuhi tu itabaki kuwa historia.
 
Tukiungana kwa pamoja kama watz na tukakubaliana hili suala tuwakabizi wazee wa kukata suluwali (Masuni), kesho asubuhi tu itabaki kuwa historia.
Tukienda kwa mwendo huo, mambo yote yatakaa sawa. Lakini je umefikiria wale wa kudai haki za binaadamu nao watasemaje juu ya hilo? Ndio maana nikasema kuanzia ngazi ya familia. Shida kubwa ya kizazi tulichonacho kimechanganyika kwenye mambo mengi lakini basic imeanzia kwenye malezi. Au umesahau pia kama kuna wale wa "Junior no......!!"
 
Kwa mpalange ya mwanamke ni tofauti na ya mwanaume
 
NCHI ZILIZOHALALISHA USHOGA DUNIANI

Netherlands: 2001
Belgium: 2003
Canada: 2005
Spain: 2005
South Africa: 2006
Norway: 2009
Sweden: 2009
Iceland: 2010
Portugal: 2010
Argentina: 2010
Denmark: 2012
Uruguay: 2013
New Zealand: 2013
France: 2013
Brazil: 2013
England and Wales: 2014
Scotland: 2014
Luxembourg: 2015
Ireland: 2015
United States: 2015
Greenland: 2016
Colombia: 2016
Finland: 2017
Germany: 2017
Malta: 2017
Australia: 2017
Austria: 2019
Taiwan: 2019
Ecuador: 2019
Ireland: 2020
Costa Rica: 2020
Switzerland: 2022
Mexico: 2022
Chile: 2022
Slovenia: 2022
Cuba: 2022
Andorra: 2023
Estonia: 2024

Hapo utajua dini ipi inashadidia USHOGA!
 
Shangaaa wee mwenzangu, case za ulawiti kila siku uraiani.
Ila hapa wanakataaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyaaa hapo kwenyewe vipi, hapo kwenyewe shegaaaah, wanaume tuna unafiki sana, haya kisa cha kupenda makalio ya wadada ni nini 🤣🤣😅😅😅
 
Back
Top Bottom