ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo