Vitol Bahrain A.c ni partner mkubwa wa Dangote. Samia asidhani anamkomoa kujenga refinery Tanga

Ndio akili yako ilipoishia mkitoka hapo mnadanganyana mkaandamane wapuuzi wakubwa
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Huu mradi ni mzuri sana kwa Bongo, Uganda na jiji la Tanga. Uganda wana uhakika wa ku-supply wese la refinery. Tanzania inajiandaa kuchimba wese lake kule bonde la Eyasi. Kutoka Eyasi Tz itatakiwa tuu kuunganisha wese lake hadi bomba la EACOP ambapo sio mbali. Pia manufaa ya kuzalisha vitu vingine vya refinery na ajira yapo palepale.
 
N
Kwamba kuweka refinery bongo tunamkomoa Dangote
Kwahyo mtz ateseke na bei ya mafuta kisa tunamuonea aibu Dangote 😁
Vingine tufikirie kwanza
Nani kakuambia bei ya mafuta itapungua kwa unafuu unaoufikilia?
Ccm walisema gesi ya Mtwara ikianza kutoka kutakuwana unafuu, uko wapi?

Pia tuliambiwa bwawa la Nyerere likianza kutoa umeme kutakua na nafuu ya umeme, ipo wapi?
 
Labda Vitol na Dangote wauziane hisa halafu Dangote aje Tanga!

Nani loser mpaka hapo?

Vitol hajengi refinery pekee yake ni ubia na serikali hizi mbili kupitia kampuni za TPDC na UNOC hivyo hakuna mianya ya janja janja hapo!
Hizo serikali zilishawahi kufanya mradi gani wa maana hata wa mfano tu kwa ubia wa level yoyote tu mkuu? Kwamba leo imepata wokovu sasa ishakua Ina upako kwnye refinery? Haya muda utaongea na yetu macho kama tutakuwa hai bado
 
Labda Vitol na Dangote wauziane hisa halafu Dangote aje Tanga!

Nani loser mpaka hapo?

Vitol hajengi refinery pekee yake ni ubia na serikali hizi mbili kupitia kampuni za TPDC na UNOC hivyo hakuna mianya ya janja janja hapo!

..TPDC, na UNOC, ni makampuni ya serikali za Tanzania, na Uganda, hivyo tusitegemee sana kwamba yana fedha / mzigo wa kuweka kwenye mradi.

..hapo wanayemtegemea ni Vitol kuwa ataweka mzigo wa kutosha. Kwa hiyo tunatakiwa tuchunguze kama wana msuli wa kutekeleza huo mradi.

..kuwaonya tu, hawa Vitol wamehusishwa ktk kashfa mbalimbali zinazohusiana na biashara ya mafuta. Mnaweza kutafuta habari zao.

..Jambo lingine ni suala la Tanga vs Lamu. Kwa maoni yangu Tanga ni option nzuri zaidi kwasababu ujenzi wa bomba la mafuta unakaribia kukamilika. Vilevile reserve ya mafuta ya Uganda ni kubwa kuliko reserve ya Kenya.
 
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Kwa akili kama hizi za hii mipinzani hata Mimi ningekuwa na mamlaka ningeifirimbia mbali........Iko kama mitahiraaa! Kila muda kupingapinga tuuu
 
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Acha uongo wa kitoto mkuu, Vitol na Dangote makampuni mawili tofauti kabisa.

Matajiri wanajuana na wanakutana kwenye biashara zao kubwa lakini hawana uhusiano wowote wa karibu wa kibiashara.
 
Fuatilia , vitol ni kampuni ya kununua na kuuza mafuta, hivyo ananunuaga mafuta Kwa dangote na kupeleka ulimwenguni
 
Anakuja Tanzania kuwekeza kwenye refinery haji kununua mafuta kwa Dangote.

Wabongo mnashangaza sana pale mnapokasirika kuiona serikali imepata mbia wa kufanya nae biashara pamoja na serikali ya Uganda.

Dangote imekula kwake kwenye suala la ujenzi wa refinery, hivi sasa anawapiga simu viongozi serikalini akijaribu kukijosha.
 
Huelewi unachokiongea
 
Dangote sasa hivi anatafuta mitaji kupitia soko la hisa (IPO) na mikopo ya mabond ili kujenga mradi wa Lamu. Miradi yake mikubwa mara nyingi huchukua miaka mingi kukamilika kwa sababu ya changamoto za kifedha (kama ilivyotokea Nigeria)
Lakini tukiacha hayo unategemea Mfanyabiashara yeyote atoe pesa wapi zaidi ya mikopo na IPO. Mradi wa refinery unahitaji muda mrefu. Mradi wa Nigeria ni top ten Duniani na investment ya 20billion siyo jambo dogo. Tafuta mradi wowote wa 20billion Usd Duniani kama unaweza kuchukua chini ya miaka mitano.

Tukubali Dangote ni giant na ana uthubutu, bei ya mafuta Nigeria inaendelea kushuka, cartels wa kuimport wamefanya kila mbinu kumkwamisha wameshindwa. Faida lukuki za ajira, safeguard dollar, fuel price stability nk.

Kumkosa huyu ni ukweli pia ilikuwa pigo kwetu lakini pia hata huyu mwekezaji mpya tujipange sana. Lazima kuwe na makubaliano yatakayotupa faida siyo sifa tu zakuwa na refinery.

Kuna hoja kuwa Kenya hana crude ya kutosha, nafikiri hapa muhimu ni kuwa na refinery ili kupata finished product na byproducts zake, kwa sababu hata Uganda hawana crude inayofika 600,000 barrels per day. Even Dangote in Nigeria sources some of its crude oil from the US. Note that Uganda’s crude oil is also not wholly owned by the Ugandan government.

Inapofika kwenye investment kubwa kama hizi ni vyema kuwaacha Watu wa-scruitinize each and everything kwa sababu tukishaingia kwenye mkataba na kwa bahati mbaya ukawa mbovu inauma sana. Kama unavyokuwa na mgodi mkubwa wa dhahabu na sifa za ziada kuwa namba moja au mbili Afrika halafu ukitoka nje kidogo ya geti la mgodi unakutana na umasikini wa kutisha.
 
Mradi wa Tanga umeunganishwa moja kwa moja na Bomba la Mafuta la EACOP linalomilikiwa na Tanzania na Uganda. Mafuta ghafi yanayotoka Uganda yanashukia hapo hapo Tanga na kusafishwa, jambo linalofanya kiwanda cha Vitol kuwa na uhakika wa malighafi (feedstock) ya bei nafuu bila kutegemea meli za nje.

Dangote alikataa Tanga kwa sababu alitaka kiwanda kikubwa mno cha pipa 700,000 kwa siku, kiwango ambacho mafuta ya Uganda pekee yasingetosha. Alichagua Lamu ili aagize mafuta kwa meli kutoka duniani kote, jambo ambalo lisingesaidia bomba la EACOP la Tanzania.

Vitol ndiye mfanyabiashara mkubwa zaidi wa nishati duniani. Wana uwezo wa kifedha wa papo hapo (strong balance sheet) na tayari wana mkataba wa kusambaza mafuta yote ya Uganda. Hii inamaanisha Vitol inakuja Tanga ikiwa na soko tayari mikononi mwake
 
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Tatizo la kubebesha vichwa msiyoyaelewa

Mmekua Kama wale wanawake waliofeli ndoa sasa wako bize mitandaoni kutapika nyongo

Mkakati wa refinery hauna kukomoana
 
Back
Top Bottom