Vitol Bahrain A.c ni partner mkubwa wa Dangote. Samia asidhani anamkomoa kujenga refinery Tanga

Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Hili ndiyo deal la maana kuliko yote katika ukanda huu na nimefurahi sana huenda yule Dangote atapindua meza kule Lamu/ Mombasa.This is economic battle mafuta tayari yapo Hoima miundombinu ya kusafirisha iko kwenye pipe line halafu tushindwe kweli kutumia busara kutengeneza refinery tuwaze kupeleka crude nje then turudishe tena refined petroleum products.Hata logistics zinakataa.

Dangote huendesha miradi yake kama mmiliki binafsi kwa 100% (private monopoly). Serikali ingekuwa tu mtoaji wa ardhi na mpokeaji kodi, huku maamuzi yote ya bei na uzalishaji yakibaki mikononi mwa Dangote

Hii ya Tanga ni ubia wa kimkakati (Joint Venture) ambapo Serikali ya Tanzania (TPDC) na Uganda (UNOC) wanamiliki hisa za mradi. Hii ina maana Tanzania ina sauti, udhibiti, na itavuna faida ya moja kwa moja kama mmiliki wa kiwanda
 
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuaji
 
NYIE NDIYE WENYE KUKARANGA MBUYU,WAACHIE WENYE MENO WATAFUNE,MAJUNGU YENU HAYANA FAIDA YOYOTE KWA UMMA!,MAJUNGU SI MTAJI,MNABUNI FITNA KILA UCHWAO,NDANI YA CCM KUPO SHWARI SANA,
#Tunajua_chandomo_watachukia_sana.
#Maana mlifurahia sana Tanzania kukosa uwekezaji sasa mmekuja kwa namna nyingine!
#Kuna wimbo fulani wa zamani sana ulikuwa ukiimba hivyo!
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuaji
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.

Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?

Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Kwahiyo umeumia hii issue ya refinary hadi umeanza kupiga ramli,kwenye biashara nq maendeleo hamna huruma mkuu,umeona kenya walivyopiga u turn refinery ya dangote tanga to lamu,tena bila aibu,kwenye maendeleo hainaga nisifanye kitu flan eti sababu flan anafanya,umafia tu
 
Subili matokeo kwanza halafu ndo ulete mtazamo wako. Kwanini imefeli? au kwanini imefanikiwa?..hapa ni kama unatupigia ramli chonganishi. MAENDELEO HAYANA CHAMA.
 
Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuaji
Dangote sasa hivi anatafuta mitaji kupitia soko la hisa (IPO) na mikopo ya mabond ili kujenga mradi wa Lamu. Miradi yake mikubwa mara nyingi huchukua miaka mingi kukamilika kwa sababu ya changamoto za kifedha (kama ilivyotokea Nigeria)
 
Kwamba kuweka refinery bongo tunamkomoa Dangote
Kwahyo mtz ateseke na bei ya mafuta kisa tunamuonea aibu Dangote 😁
Vingine tufikirie kwanza
Mtu akikuita mpinzani Tanzania ujuwe amekutukana tusi kubwa
 
Uongo hauna manufaa kwa nchi boss.
My friend pamoja na tofauti zako za kiitikadi dhidi ya Serikali ya Samia, lakini hiii ni deal kubwa ambayo multiplier effect yake ni kubwa sana kwa Tanzania. Don't be toxic
 
Nakuuliza, wamesema huo mradi unaanzi lini? Ama unadhani kila mtu anaingizwa mkenge kwenye hizi hadaa?
 
Back
Top Bottom