ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Mkuu na ww umeamini hao matapeli wawili wanaweza kujenga hiyo refinery? Hao ni matapeli kama matapeli wengine.Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Dangote anatema bungo tayari anakwenda sauzi!Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Ccm na chadema vinaingiaje hapaDangote anatema bungo tayari anakwenda sauzi!
#TUNAWAJUA NYIE CHADEMA HII NI HABARI MBAYA SANA KWENU,HAMPENDI KUONA USHINDI WA TANZANIA POPOTE PALE,SHWAIN.
View attachment 3644510
Inaonesha Kila kinachotokea ni sehemu za Hesabu zao. Wametujaza ili Tujae, TUMEJAA.Chance ni kubwa sana hawa matajiri watakaa na kuset deal ya pamoja Kama project ipo viable bado, akili ya mtu maskini ndogo sana na inaendeshwa na emotions! Huwezi mkomoa tajiri kwa namna yoyote
Muda utaongea…
Naona hivi atiiInaonesha Kila kinachotokea ni sehemu za Hesabu zao. Wametujaza ili Tujae, TUMEJAA.
Lissu pekee ndiye angeweza kujenga (kichwa nazi)Mkuu na ww umeamini hao matapeli wawili wanaweza kujenga hiyo refinery? Hao ni matapeli kama matapeli wengine.
Duwa chafu ndizo hizi na wanga!...Hizo ni MoU tu aisee Mimi mwenyewe pia sidhani kama Vitol ata set hii refinery apo Tanga
Business doesn't care how you feelLissu pekee ndiye angeweza kujenga (kichwa nazi)
Duwa chafu ndizo hizi na wanga!...
Labda Vitol na Dangote wauziane hisa halafu Dangote aje Tanga!Chance ni kubwa sana hawa matajiri watakaa na kuset deal ya pamoja Kama project ipo viable bado, akili ya mtu maskini ndogo sana na inaendeshwa na emotions! Huwezi mkomoa tajiri kwa namna yoyote
Muda utaongea…
Sema hii nchi ina watu viazi sana.Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Allah Samia oyeeeeeeeeSema ukweli hamtaki kuamini kinachoendelea...
Endeleeni kutapatapa au msubiri ijengwe halafu muandamane na mle misumari kama vibaka wale wa tarehe 29