ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
- Thread starter
-
- #21
Tarehe 29 imeingiaje hapa, vibaka jeSema ukweli hamtaki kuamini kinachoendelea...
Endeleeni kutapatapa au msubiri ijengwe halafu muandamane na mle misumari kama vibaka wale wa tarehe 29
Hili ndiyo deal la maana kuliko yote katika ukanda huu na nimefurahi sana huenda yule Dangote atapindua meza kule Lamu/ Mombasa.This is economic battle mafuta tayari yapo Hoima miundombinu ya kusafirisha iko kwenye pipe line halafu tushindwe kweli kutumia busara kutengeneza refinery tuwaze kupeleka crude nje then turudishe tena refined petroleum products.Hata logistics zinakataa.Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Hater, sometimes try to be sober. Huwezi kuwa unapinga pinga tu hata mambo ya manufaa kwa nchiMkuu na ww umeamini hao matapeli wawili wanaweza kujenga hiyo refinery? Hao ni matapeli kama matapeli wengine.
Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuajiMimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
NYIE NDIYE WENYE KUKARANGA MBUYU,WAACHIE WENYE MENO WATAFUNE,MAJUNGU YENU HAYANA FAIDA YOYOTE KWA UMMA!,MAJUNGU SI MTAJI,MNABUNI FITNA KILA UCHWAO,NDANI YA CCM KUPO SHWARI SANA,
#Tunajua_chandomo_watachukia_sana.
#Maana mlifurahia sana Tanzania kukosa uwekezaji sasa mmekuja kwa namna nyingine!
#Kuna wimbo fulani wa zamani sana ulikuwa ukiimba hivyo!
Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuaji
Kwahiyo umeumia hii issue ya refinary hadi umeanza kupiga ramli,kwenye biashara nq maendeleo hamna huruma mkuu,umeona kenya walivyopiga u turn refinery ya dangote tanga to lamu,tena bila aibu,kwenye maendeleo hainaga nisifanye kitu flan eti sababu flan anafanya,umafia tuMimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani akifungua duka na wewe unaenda kufungua duka hilo hilo hapo.
je Dangote kujinga refinery kenya lamu na Vitol.kujenga refinery tanga kuna economic viability?
Kwanini isijengwe moja na mmojawapo aende lindi kujenga mradi wa gas LNG sijui.
sasa nakuambieni Vitol ni mshirika mkubwa wa Dangote, akisema ajenge refinery hapa anajua ataua biashara ya patner wake mkuu dangote ambaye anamtegemea kuuziwa mafuta, sidhani vitol atarisk kujenga hiyo refinery , huyo mikataba naamini ni propaganda kama ilivyokuwa mradi wa bandari.ya bagamoyo
Hawa wapingaji wa kila kitu wangese kweli aisee,sijui hata wanafikiria nini aisee!Hater, sometimes try to be sober. Huwezi kuwa unapinga pinga tu hata mambo ya manufaa kwa nchi
Go to hell village boy
HAWA NDIYO CHADEMA NA MAWAZO YAO!,ETI WANATAKA NCHI WAIENDESHE!?,WAZIRI WA FEDHA #SUGU😃😃😃
Wapuuzi kabisaHAWA NDIYO CHADEMA NA MAWAZO YAO!,ETI WANATAKA NCHI WAIENDESHE!?,WAZIRI WA FEDHA #SUGU😃😃😃
Uongo hauna manufaa kwa nchi boss.Hater, sometimes try to be sober. Huwezi kuwa unapinga pinga tu hata mambo ya manufaa kwa nchi
Dangote sasa hivi anatafuta mitaji kupitia soko la hisa (IPO) na mikopo ya mabond ili kujenga mradi wa Lamu. Miradi yake mikubwa mara nyingi huchukua miaka mingi kukamilika kwa sababu ya changamoto za kifedha (kama ilivyotokea Nigeria)Hamna cha maana ulichoandika, hiyo refinery kenya hayo mafuta atatoa wapi? Tanga na uganda wana kila kitu tayari, crude oil, bandari, pipe line ipo tayari ,siyo kila kitu cha kupinga na kuleta ujuaji
Mtu akikuita mpinzani Tanzania ujuwe amekutukana tusi kubwaKwamba kuweka refinery bongo tunamkomoa Dangote
Kwahyo mtz ateseke na bei ya mafuta kisa tunamuonea aibu Dangote 😁
Vingine tufikirie kwanza
My friend pamoja na tofauti zako za kiitikadi dhidi ya Serikali ya Samia, lakini hiii ni deal kubwa ambayo multiplier effect yake ni kubwa sana kwa Tanzania. Don't be toxicUongo hauna manufaa kwa nchi boss.
Nakuuliza, wamesema huo mradi unaanzi lini? Ama unadhani kila mtu anaingizwa mkenge kwenye hizi hadaa?My friend pamoja na tofauti zako za kiitikadi dhidi ya Serikali ya Samia, lakini hiii ni deal kubwa ambayo multiplier effect yake ni kubwa sana kwa Tanzania. Don't be toxic
Go to hell village boy
Ndio akili yako ilipoishia mkitoka hapo mnadanganyana mkaandamane wapuuzi wakubwa