Huyo atakuwa kauza mechi nje sasa anahofia kuwa umepata habari ndiyo maana anakununia ili usilianzishe.Yaani mimi nataman hata nimzibue makofi ili anune vzr… vinatia hasira… akiwa sebren ukisema umfate ukianzisha vistor vya hapa na pale hasapot chochote anajifanya Mara yko bize na mtoto au vikaz kazi ambavyo havina hata maana ili mlad tu akutoroke… .duh hawaelewek… .kbs hawa viumbe
Mbona umepevuka sasa suala dogo kama hilo umeshindwa kulitatua?
Kusema ni ngumu kwa kuwa anataka kubembelezwa wewe ndio uanze kwa kumuuliza kuwa' babe mbona kamaaa.....hauko sawa" na bado utakuta anakujibu"hakuna kitu kawaida tu" hapo anahitaji kubembelezwaSi aseme sasa! Mimi nafikir jinsi gani maisha yaende harafu uku wanuniwa… .hanitendei haki kwakweli
Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Hawa wanawake some time ni Kama wapumbavu Mimi et kaninunia kisa et kwa Nini nimekua wa Mwisho kuamka na sijamsaidia kukunja net Ivo tu kanunaJamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Huyo mwanamke utoto utakuwa unamsumbua. Yaani kuvaa nguo mpya mpaka asifiwe!!! Huwa mnatoa wapi hao wanawake?Duuu wanawake sijui tunakwama wapi,,, kuna jamaa nae alikuwa anasimulia kuwa mkewe alimnunia week nzima kisa tu mwanamke alivaa nguo mpya na jamaa hakumsifia kuwa kapendeza mbaya zaidi jamaa hakujua kosa lake ni kutotambua kuwa mkewe kavaa nguo mpya.
Mwanamke anaweza kununa kwa sababu ya kitu kidogo sana na asiweze kumwambia mwenza wake ni nini tatizo , na wengi hudhani kununa ni suluhisho kumbe wanaume wanachukulia powa tu
Of course kama ' hujamfanya ' lazima anune.Wewe ulitegemea nini kwani ?Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Mtafutie au mpe Pesa, Lazima kununa kutaisha..Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Kununa ni kutojielewa. Jaribu mkeo awe rafiki yako,muwe mnaweza kuzungumza , kujadiliana mambo yoteJamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Tayari huyo, anza kuandaa nepi, beseni na bebishoo.Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
Wanakutana nao KFC halafu wana waoa.Huyo mwanamke utoto utakuwa unamsumbua. Yaani kuvaa nguo mpya mpaka asifiwe!!! Huwa mnatoa wapi hao wanawake?
Anza kumsifia mkeo...utaanza kuona changes kwenye love life yako!lollHuyo mwanamke utoto utakuwa unamsumbua. Yaani kuvaa nguo mpya mpaka asifiwe!!! Huwa mnatoa wapi hao wanawake?
Mkuu,kwahiyo hii ndio itakua kazi yake kila muda Mke atakapo nuna? Maana hawa viumbe hawatabiriki.Unaporudi mletee zawadi ..kile anachopenda.. ..
Anataka kubembelezwaa ile bebi bebi ....
Anakupima utafanyaje.. ..
Zidisha pesa ya meza
Nifanye kusahau pesa kwenye furuali au Shati...
Weka pesa azione ..andika msg mwambie akanunue gauni zuri ..saluni..jioni mtoke
Mwambie nisindikize sehemu..mkifika nunua vile anapenda
Msome..huku unajifanya bize kuchati..
Nifanye tumbo au kichwa kimeuma ghafla ..Tena Sana..gara gara
Mwite ndani muulize pole..pole..nn shida ..
Peleka Moto Tena si kwa kubembeleza..kwa vishindo hasa..
Sasa si alisifiwa na watu wa nje kuwa kapendeza na mumewe hakutoa comment yoyote kuhusu nguo mpya aliyovaa mkewe,Huyo mwanamke utoto utakuwa unamsumbua. Yaani kuvaa nguo mpya mpaka asifiwe!!! Huwa mnatoa wapi hao wanawake?