Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Ila Maka, replies zako huwa zinanikosha sana πŸ˜…πŸ˜

Hiyo namba 3 umeshaisema sana, yani naamini kabisa huwa unafurahia sana uanaume wako hapo πŸ˜‚πŸ˜†
Namba 6 wakikucheki huwa unapasha viporo, au unawaambia we mume wa mtu 😁?

Cc:
ERoni , Poor Brain
 
Sijui kama ni vidogo ama vikubwa

But huwa nasikia raha kucheza mpira pamoja na vitoto vyangu ama kushindana kucheza game pamoja kwenye simu.

Likizo hii nilitengeneza minati nikawasha gari tukaenda kuwinda Ndege huko mtaani

Furaha nyingine kwangu, ni kusafiri

Iwe kwa Ndege/treni/gari n.k

Ndiyo maana simalizi Mwezi bila kusafiri
 
Tena nikimaliza kula napenda nilale chini kabisaaa very naked basi naona kama nimemaliza maisha yote yangu🀣🀣🀣🀣
Same, yani nijichanue hapo, niscroll kwenye simu peacefully, au nipitiwe kausingizi au niangalie movie.
Naona maisha nimeyapatia sana, hata akitokea mtu anagonga mlango nitajifanya sipo πŸ˜‚πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…