Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Hivyo value yake ni kubwa sana, kuspend muda na watoto na kutengeneza kumbukumbu nao ni vitu ambavyo havitafutika maishani mwao. Unafanya vizuri sana babu kijana.Sijui kama ni vidogo ama vikubwa
But huwa nasikia raha kucheza mpira pamoja na vitoto vyangu ama kushindana kucheza game pamoja kwenye simu.
Likizo hii nilitengeneza minati nikawasha gari tukaenda kuwinda Ndege huko mtaani
Furaha nyingine kwangu, ni kusafiri
Iwe kwa Ndege/treni/gari n.k
Ndiyo maana simalizi Mwezi bila kusafiri
Mbona kama maisha yenu ni magumu sana au wewe umeyapatia π π
Tajiri najua unanichora tu π yani nihamishe maji kwenye kakisima kangu nilete baharini πNi kweli madam nitumie hata pesa ya kula basi
π π tunza pesa zako madam mimi buku mbili zangu zinatosha mnoTajiri najua unanichora tu π yani nihamishe maji kwenye kakisima kangu nilete baharini π
Of course umesema sahihiHivyo value yake ni kubwa sana, kuspend muda na watoto na kutengeneza kumbukumbu nao ni vitu ambavyo havitafutika maishani mwao. Unafanya vizuri sana babu kijana.
Kwenye kusafiri tuko pamoja, japo sina hiyo flexibility ya kusafiri kila mwezi π
Hayo yote cjawah kuyaona kwanguInaua self esteem kwa wanaume.
Na inakufanya ujifeel less confidence, inaondoa ile masculine energy.
Akikulalia huyo hufi?
NaamKuliko nyuchi?
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Acha nianze π
- Kutoa bra na nguo za kubana bana baada ya kufika nyumbaniβ¨.
- Kuvaa nguo bado ya moto baada ya kuinyoosha na pia kulala na nighdress laini za silk.
- Kuwa peke yangu nyumbani (bila watoto, bila mwanaume) napika huku naangalia movie au nasikiliza mziki na hakuna mtu anayetokea kuniongelesha.
- Kukumbatiwa kwa nyuma nikilala (spooning) π na kukojozw
- Kupata hela ambazo nilizisahau na sijazitegemea (kwenye pochi, kabatini etc.)
- Kunywa maji ya kutosha na kujisikia vizuri kila nikiangalia mkojo wangu π
VIPI WEWE?
View attachment 3481363
Kijana wa hovyo pro max, hiyo mikono bado haijaota sugu? πNaam
Small pleasures - mambo gani yanatokea mara kwa mara na yanakufurahisha kwenye maisha ya kila siku?
Kwa utulivu sana, nimependa π1. Napenda kusafiri alafu niwe nimetulia nasikiliza mziki laini nikiwa zangu siti ya dirishani
2. Iwe siku nipo off alafu saa 10 alfajiri au 11 hivi kunyeshe kimvua hadi morning dahh
Kuna kipindi nilipiga nyeto mpaka uboo ukawa wa kijani, ikabidi nijipe mapumziko ya siku moja nisipige nyeto πKijana wa hovyo pro max, hiyo mikono bado haijaota sugu? π
Tajiri, unajua buku 2 ya huko kwenu huku bongo ni milioni 5.π π tunza pesa zako madam mimi buku mbili zangu zinatosha mno