Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Siyo wivu mkuu,nakupa mfano
Kijana asiye na kazi maalumu ana miliki Samsung Ultra au iPhone 15 halafu akikamatwa na polisi anakosa dhamana ya 30k, au anamiliki TV inchi hamsini na kitu halafu hana akiba ya laki moja ndani.

Au kijana anahudumia demu halafu hana sehemu ya kulala
 
Final uzeeni
Kuna vijana wawili wanabeba box store
Mmoja ana Range na mwingine Jaguar na zote za mkopo
Nikawaambia final uzeeni
Wao wanafurahia maisha kwa sasa
Hayo nilipitia pia ila nilikuwa na akiba
Sasa siku moja mmoja wao aliniomba nimkope 1m kama £340
Wakati na transfer kwenye account yake akaona saving yangu
Alishtuka sana
Kila mwisho wa mwezi hawana kitu na mkopo juu
Wote wanaziuza gari zao Sasa na kuhamia kwenye usafiri mdogo
Huenda wamejielewa na kuona show off hailipi bili
 
Dah,

I am so humbled. Nimekuwa nikisema kama kitu nilichofanya tu sikutegemea kuwa itasaidia watu wengine hivi.

Alcohol free since January 1, 2024.
Bado kidogo mjomba unakuwa Nabii Kiranga...

Ni suala la Muda tu...
 
Kama unakiu...kata highlife ya buku mbili au kisugura cha buku mbuli na wistonsport 3 450,jojo 50 jumlaa 2500,ushapata steam na umeokoa sijui shingapi hapo
Bro your are real B'Real 😂
 
Sheeendwaa mtoto wa Buddha kwa damu ya YESU
Ndiyo Yesu akivyowafundisha kukosa adabu hivyoo?

Mbona mimi sijaku cyberbully kidini hivyo?

Umenikumbusha juzi nilikuwa naongea na baba yangu (yeye mtu wa dini, Mkristo sana kama mlokole).

Tulikuwa tunaongelea mambo ya kutoa. Akasema anaona kuwa si Wakristo tu ndio watu wenye uwezo wa kufanya mema, hata Waislamu wanatoa sana, tena Waislamu wengine wanawazidi Wakristo wengi tu kutoa.

Alikuwa anakubali kuwa mimi (ambaye anajua falsafa zangu na kwamba si Mkristo) sihitaji kuwa Mkristo ili kuwa mtu mzuri anayetoa na kusaidia wengine.

Ukiwaona watu walio tofauti kama wabaya tu, watu wa kukemewa kwa kuambiwa "Shindwa katika jina la Yesu" unaweza kuanzisha vita ya kidini ambayo haina sababu.

Vita ambayo hata kwenye Ukristo haitetewi wala kutakiwa, kwa maana katika Ukristo tumepewa amri mpya, amri ya upendo.

One love.
 
Nisamehe, mi nilitania tu hapo...

Ila ni kweli amri ni Upendo...

Ila hata usiabudu miungu mingine ila mimi yaani Mungu tu nayo ni amri.
 
Nisamehe, mi nilitania tu hapo...

Ila ni kweli amri ni Upendo...

Ila hata usiabudu miungu mingine ila mimi yaani Mungu tu nayo ni amri.
Hapo hujaona dini hizi zina contradiction?
 
Back
Top Bottom