Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Sitasahu siku nilikuwa mkoa X, nimepiga kazi kama mwezi mmoja na nusu, upwiru ukanizidia, aisee kazi zilikua haziendi, kila nikiona manzi nahisi kuchanganyikiwa, niki concentrate kwenye laptop sioni hata output ya ninachokifanya ilibidi night moja nizamie ki grocery fulani, muhudumu niliyemkuta pale counter alikua manzi flani sio mbaya kwa matumizi ya kijamii, nikachukua namba fasta, hata kabla sijaanza kurusha mistari nikamrushia bia kama 5 hivi huku mimi nanyonya hansons's choice yangu taratibu. Long story short nilikaa pale grocery mpaka saa 7 na nusu usiku, alipomaliza kufunga hesabu nikachomoka nae hadi lodge, siku iliyofuatia nilikuwa kama nimezaliwa upya, nilikua na morali wa kazi hatari sana.

Kwa kweli wanawake huwezi kuwaepuka wana nafasi yao kwenye kutuliza akili ya mwanaume, ila usijichanganye kwenye starehe ya muda mfupi ikakudanganya ukafanya maamuzi ya kuingia nao kwenye mkataba wa milele (ndoa) utapiga mayowe.

Kuhusu pombe hapa pia nadhani bila pombe sijui kama hata ningepata kazi, maamuzi mengi magumu nimewahi kuyafanya kichwa kikiwa kimechemka. Ila pia nina matukio ya ulevi ambayo nikikumbuka huwa naishia kucheka tu na wana. Ni mengi sana

All in All, vyote vinahitaji balance
 
Back
Top Bottom