Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Kabisa jifanye umechoka.
Ndiyo hivyo ukienda kuwatembelea vaa nguo zimechanika matakoni na pia tembea kama vile ulishajiugulia miaka na miaka .
Wakikuuliza shida nini sema maisha yamenikataa ndugu zangu ,wakileta stori za kukuchangia wambie hapana nitajitafuta taratibu wala msihangaike .

Ili ukiondoka waanze kukusema ulivyo choka na kujiishia kumbe una mapesa ila unayaficha wasije kukuomba ikapungua
 
Mimi ilo naliweza ila mtu akipiga simu kuomba pesa siwez mnyima ukituma sms nakunyima kweupee
 
Simu -smartphone ni 'poverty gateway' unamiliki ya gharama ili iweje, itakula vzr kuliko ww
Saa kazi yake ni moja tu...unaweza tumia saa ya simu pia
Kiatu cha gharama?
Binafsi hii conclusion yako naipinga
Naungana nawe hitimisho lake limehabu yale ya juu yote.

Kwa mfano saa ni ya kazi gani wakati saa ipo kwenye simu.
 
Ma mtu ina jero mpesa nisovie mazingira?
IMG_4804.jpeg
😂😂 ba mtu uchumi umenichumu, sikilizia mpaka wkend..
 
Back
Top Bottom