Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Juzi nimetembea mikocheni b mpk morroco kufata tu mwendokasi 😂 😂
Kuazimana pesa,au kuombana kupo tu,nini maana ya ushikaji,hakuna ambaye hajawahi kuomba au kuombwaHongera
SikupingiKuazimana pesa,au kuombana kupo tu,nini maana ya ushikaji,hakuna ambaye hajawahi kuomba au kuombwa
Mimi iwe meseji au kupiga simu kote lazima nitie huruma .Mimi ilo naliweza ila mtu akipiga simu kuomba pesa siwez mnyima ukituma sms nakunyima kweupee
Upo sahihi lakini tofautisha nidhamu ya pesa na ubahili,mtu bahili anaweza kuvaa ndala kwenye hafla kubwaHzo fashion ndo zimewafanya vijana wanendelea kuwa masikin unawezaje kuwa na kipato Cha Tsh 10k arf unaenda kununua saa ya Tsh 50k unakuwa na akili kwel au matope
Ipo siku wallet yako utawapa vishanduJuzi nimetembea mikocheni b mpk morroco kufata tu mwendokasi 😂 😂
Ase we zaidi ya mbahiriMimi iwe meseji au kupiga simu kote lazima nitie huruma .
Kwanza uwa napanda kitanda najifunika gubigubi ni hapo naanza kuongea nikijua hii ni simu ya hela naongea kama nitakufa kesho ,ukiongelea mambo ya hela lazima na mimi nikuombe hela ya matibabu maana ndugu ni wasumbufu sana
Ila meseji uwa sijibu na nikijibu basi uwa essay ya matatizo yangu
Sema angepiga cross kubw zile zenye matobo unyama😅😅View attachment 3281555😂😂 ba mtu uchumi umenichumu, sikilizia mpaka wkend..
Af umechomeka kabisa 😂 Mungu akumulike na taa yake akuoneJuzi nimetembea mikocheni b mpk morroco kufata tu mwendokasi 😂 😂
Mmh wew ndo wale bora maji ya kandoro 100 kuliko kilimanjaro ya Buku😅😅Hzo fashion ndo zimewafanya vijana wanendelea kuwa masikin unawezaje kuwa na kipato Cha Tsh 10k arf unaenda kununua saa ya Tsh 50k unakuwa na akili kwel au matope
Hahaha Hamna nilikuwa mikocheni ndani ndani huko saa nikasogea mpk sayansi nipate gari la posta hola, nkafka makumbusho hakuna kitu, aah nikajiongeza morrocoIpo siku wallet yako utawapa vishandu
Hapana kaka casual yangu jeans tisheti, au shati na viatu simple vya kufuta, au raba basiAf umechomeka kabisa 😂 Mungu akumulike na taa yake akuone
😂😂😂😂 Sasa una buku mfukon Kwanini usinunue kandoro ya mia ili ubaki na mia tisa kuliko kwenda kununua dew drop ya buku na mfukon ukabaki empty kwan kazi ya maji si Ile IleMmh wew ndo wale bora maji ya kandoro 100 kuliko kilimanjaro ya Buku😅😅
Pole sema mm nishawai tembea kutoka morroco mpaka manzese kwa mguu nilikosa nauli na nilikuwa nimetoka kwenye usahili wa call center 😔 sitak kukumbuka ile sikuHapana kaka casual yangu jeans tisheti, au shati na viatu simple vya kufuta, au raba basi
Hapana huwa Wana kanuni moja "Ukiwa huna plan(mpango) bajeti yako Ndio mpango wako" yaani Hauwezi kufanya kitu et kwasababu Watu watakuonaje au watakuchukuliaje Fanya kwa uhalisia wakoKwamba wa huku wote wabahili? Kuna wachache tumemix.. huruma huruma bado zipo.
Hahaha mm route za mwanayamala morroco pita humo ndani mpk tandale , manzese ndo zangu kipind naishi sinza darajani ......Pole sema mm nishawai tembea kutoka morroco mpaka manzese kwa mguu nilikosa nauli na nilikuwa nimetoka kwenye usahili wa call center 😔 sitak kukumbuka ile siku
Unajinyima kula ila unanunua bando la 2000 kila siku😂😂😂😂 Sasa una buku mfukon Kwanini usinunue kandoro ya mia ili ubaki na mia tisa kuliko kwenda kununua dew drop ya buku na mfukon ukabaki empty kwan kazi ya maji si Ile Ile
Iko poa unafanya mazoezi automaticalyHahaha Hamna nilikuwa mikocheni ndani ndani huko saa nikasogea mpk sayansi nipate gari la posta hola, nkafka makumbusho hakuna kitu, aah nikajiongeza morroco
Afu napenda kutembea hasa usiku hapa mzizima
Hata hivyo ilikuwa usiku mchana ningelipa tuu bajaji
Nidhamu ya pesa haiwez kuwepo kama hujapitia level ya ubahili unapomshahuri kijana anayejitafita mpe mbinu zitakomwezesha kufikia mafanikio makubwa sio kumfundisha mambo ya kufanya ili afurahishe majority kwa muda mfupi .Upo sahihi lakini tofautisha nidhamu ya pesa na ubahili,mtu bahili anaweza kuvaa ndala kwenye hafla kubwa
Wabahili nyuma ya keyboard madamKwamba wa huku wote wabahili? Kuna wachache tumemix.. huruma huruma bado zipo.