Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
-
- #141
Siyo wivu mkuu,nakupa mfanoWivu tuu
Umeona eeh ,Kununua vitu hata ambavyo huna shida navyo kuwaonyesha watu nawe unaweza au una pesa.
Final uzeeniFanya mambo yako ila kumbuka kuweka akiba at least robo ya mshahara kama unaweza
Usitamani vitu vikubwa na uwezo hauna
Uzee unakuja na sio mbali utaitwa mzee
Sasa ukifikia hiyo hatua na huna kitu utakuwa boya tu
Tusipangiane maisha mkuu. Mfano unakula kwa mama ntilie chakula cha 2000 unaharisha mpaka unalazwa na unatibiwa kwa gharama zaidi ya 100,000 kisa buku 2 tu.
Kuna vijana wawili wanabeba box storeFinal uzeeni
Kwani mpiga debe siyo mtafutajiNa sisi wapiga debe hii unaruhusu? 🤔
Umejibu vema ila huu uzi hayanihusu Mimi ni ushauri tuMy friend, try to find money...😊
09. Usitumie pombe aina ya Jack Daniel
Bongo kuna vituko sanaUmeona eeh ,
Kuna jamaa yangu kafunga bosheni AC kwenye nyumba yake ,halafu ukiuliza mbona haifanyi kazi Hana majibu zaidi ya kucheka cheka
Bado kidogo mjomba unakuwa Nabii Kiranga...Dah,
I am so humbled. Nimekuwa nikisema kama kitu nilichofanya tu sikutegemea kuwa itasaidia watu wengine hivi.
Alcohol free since January 1, 2024.
BodhisattvaBado kidogo mjomba unakuwa Nabii Kiranga...
Ni suala la Muda tu...
Bro your are real B'Real 😂Kama unakiu...kata highlife ya buku mbili au kisugura cha buku mbuli na wistonsport 3 450,jojo 50 jumlaa 2500,ushapata steam na umeokoa sijui shingapi hapo
Sheeendwaa mtoto wa Buddha kwa damu ya YESUBodhisattva
Ndiyo Yesu akivyowafundisha kukosa adabu hivyoo?Sheeendwaa mtoto wa Buddha kwa damu ya YESU
Nisamehe, mi nilitania tu hapo...Ndiyo Yesu akivyowafundisha kukosa adabu hivyoo?
Mbona mimi sijaku cyberbully kidini hivyo?
Umenikumbusha juzi nilikuwa naongea na baba yangu (yeye mtu wa dini, Mkristo sana kama mlokole).
Tulikuwa tunaongelea mambo ya kutoa. Akasema anaona kuwa si Wakristo tu ndio watu wenye uwezo wa kufanya mema, hata Waislamu wanatoa sana, tena Waislamu wengine wanawazidi Wakristo wengi tu kutoa.
Alikuwa anakubali kuwa mimi (ambaye anajua falsafa zangu na kwamba si Mkristo) sihitaji kuwa Mkristo ili kuwa mtu mzuri anayetoa na kusaidia wengine.
Ukiwaona watu walio tofauti kama wabaya tu, watu wa kukemewa kwa kuambiwa "Shindwa katika jina la Yesu" unaweza kuanzisha vita ya kidini ambayo haina sababu.
Vita ambayo hata kwenye Ukristo haitetewi wala kutakiwa, kwa maana katika Ukristo tumepewa amri mpya, amri ya upendo.
One love.
Hapo hujaona dini hizi zina contradiction?Nisamehe, mi nilitania tu hapo...
Ila ni kweli amri ni Upendo...
Ila hata usiabudu miungu mingine ila mimi yaani Mungu tu nayo ni amri.
Niliwai tembea kutoka tegeta adi goba 💔 mazoezi haya🙌🏾