Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

unachosema ni sahihi mkuu tatizo tuliowapa mamlaka je wana nia ya kuboresha huduma na kutupunguzia hizo adhabu za makaratasi kila wakati?
Ukichunguza idara nyingi mifumo bado niya kizamani sana walio pewa dhamana hawapo kuendeleza wala kuboresha ila kuhudumu wajazee matumbo na kujinenesha muda wao upite ndio mana project za serikali nyingi ni dhaifu watu hawa angalii kama zina dumu na kusaidia au zita kuwepo tu ili mradi zimefanyika
 
Mfumo wa kupata NIN ndio mfumo mgumu na uliohakikiwa kuliko mifumo yote hapa nchini . Cheti cha kuzaliwa unaweza kukipata ndani ya dk 20 sabababa, nane nane na kwenye warsha zingine.
Haya ni mawazo yako au ndo hali halisi??😂😂😂mkuu huo mgumu labda kwako na utakua umetokea kigoma ndio maana unasumbuliwa😂😂

nida nimesajili shulen bila verification yyte
Ndugu na marafiki zangu mtaani unaenda kwa m/kit au mtendaji huo ugumu labda mtaani kwako
 
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?

CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.

Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?

CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Kutotaka kuigaiga kulinifanya nika design nyumba ambayo huingilii sebuleni kila mtu akifika kwangu anashangaa sababu hajazoea kote alikowahi kwenda.
 
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?

CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.

Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?

CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Wakipima "writing skil na speaking skil" umekwisha!
 
Naunga mkonyo hoja.

Cheti cha kuzaliwa cha NINI wakati una NIDA?

Mavyeti lukuki kila pahala, mara barua, mara sijui cheti cha Mwenyekiti!!!

We must GO DIGITAL.... unaweka tu KIDOLE GUMBA taarifa zote zinajileta.

Tumechoshwa na MAVYETI UCHWARA. Ukigeuka kushoto MAVYETI, ukigeuka kulia MAVYETI.... LETA CHETI, NENDA KWA MWENYEKITI, MARA ANDIKA WARAKA.....

Nchi ya MAVYETI na MABARUA.
 
Nida inatengenezwaje?? ulidaiwa cheti cha kuzaliwa wakat unatengeneza nida??

mkuu hivi vinahitajika kwasababu wanaelewa mifumo iliyotumika kupata izo NIDA.
Hii mifumo ingekua imenyooka NIDA ingeaminika
Kimsingi NIDA ilikuwa na uwezo wa kubeba taarifa zote za raia kuanzia majina, kuzaliwa na elimu.

Binafsi nilipoenda jiandikisha kile kituo walikuwa wana upload vyeti vyote vya elimu hasa kwa graduates. Hapo ndio nikajua kumbe huu mfumo una uwezo mkubwa hivi.

Sasa tatizo ni waandikishaji nadhani hawakupikwa sawa sawa.
 
Back
Top Bottom