Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Hiyo miongozo imejitengeneza au wameitengeneza?Lakini,hawaamui tu.Miongozo ndiyo wanaifuata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miongozo imejitengeneza au wameitengeneza?Lakini,hawaamui tu.Miongozo ndiyo wanaifuata.
Jibu linaeleweka.Inatumika hadi pale itakapoboreshwa au kubadilishwa/kutolewa mipya.Hiyo miongozo imejitengeneza au wameitengeneza?
Haya ni mawazo yako au ndo hali halisi??😂😂😂mkuu huo mgumu labda kwako na utakua umetokea kigoma ndio maana unasumbuliwa😂😂Mfumo wa kupata NIN ndio mfumo mgumu na uliohakikiwa kuliko mifumo yote hapa nchini . Cheti cha kuzaliwa unaweza kukipata ndani ya dk 20 sabababa, nane nane na kwenye warsha zingine.
Wangechukua mainjinia kufanya kazi za HR, mambo yengeenda. Huwezi kukimbia hesabu halafu uwe na impact duniani.Ma HR job leo wanakuomba namba ya NIDA miezi 2 mbele wanaomba tena.
😭😭😭😭
Kutotaka kuigaiga kulinifanya nika design nyumba ambayo huingilii sebuleni kila mtu akifika kwangu anashangaa sababu hajazoea kote alikowahi kwenda.Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?
CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.
Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?
CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Huko ni kutaka kijikweza bila sifa halisi.Mhandisi awe HR?Kurudia mambo ya hovyo waliyoyafanya wakoloni karne ya 19 kwa mislocations?Kila mmoja acheze eneo lake.Wangechukua mainjinia kufanya kazi za HR, mambo yengeenda. Huwezi kukimbia hesabu halafu uwe na impact duniani.
Wakipima "writing skil na speaking skil" umekwisha!Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?
CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.
Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?
CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Uliboronga au ulufanya kitu amazing?Kutotaka kuigaiga kulinifanya nika design nyumba ambayo huingilii sebuleni kila mtu akifika kwangu anashangaa sababu hajazoea kote alikowahi kwenda.
kila kitu nimefanya kitaalamu, halafu sio mimi niliechora floor plan mimi nilikuwa na idea tu nikampa engineer afanye yake kitu kikatoka unyama.Uliboronga au ulufanya kitu amazing?
Mimi sina na sijawahi kuwa na NIN na simjui anayeitoa, nieleweshe nami nitoke tongotongo.Kwenye taarifa za NIN hakuna mahali pa umri?
National identity number (NIDA)Mimi sina na sijawahi kuwa na NIN na simjui anayeitoa, nieleweshe nami nitoke tongotongo.
Cheti cha kuzaliwa ni moja ya nyaraka muhimu wakati wa kuomba NidaNida inatengenezwaje?? ulidaiwa cheti cha kuzaliwa wakat unatengeneza nida??
mkuu hivi vinahitajika kwasababu wanaelewa mifumo iliyotumika kupata izo NIDA.
Hii mifumo ingekua imenyooka NIDA ingeaminika
Kimsingi NIDA ilikuwa na uwezo wa kubeba taarifa zote za raia kuanzia majina, kuzaliwa na elimu.Nida inatengenezwaje?? ulidaiwa cheti cha kuzaliwa wakat unatengeneza nida??
mkuu hivi vinahitajika kwasababu wanaelewa mifumo iliyotumika kupata izo NIDA.
Hii mifumo ingekua imenyooka NIDA ingeaminika