Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

wa kiume hapaswi kurudi nyuma kwenye tukio lolote na kugegeda mwanaume halisi ni muda wa masaa 5 bila kupumzika
 
mtoto wa kiume hutakiwi kujifanyisha mzungu wakati wewe una sura ya kazi.
 

How old are u anyway??
 
mtoto wa kiume lazima adondoshe mkono wa sweta na akisikia mwizi,nyoka hatari yoyote awe wa kwanza kwenda kupambana sio wanatoka watoto,madem yeye anatetemeka.
 
Aiseeee JF raha sana........
Mtoto wa kiume hutakiwi kumechisha hovyo especially zile suruali za rangi ya njano, nyekundu, kijani, purple na raba zake, miwani, saa n.k. Pia haipendezi mtoto wa kiume kutafuna big G kwa nguvu domo lote analichezesha huku unajilamba lamba
 
Ivyo ni vitu minor sana mtu wangu..Kila mtu aishi maisha yake bhana..huwezi mlimit mtu asitumie maneno kama pliz,sorry au OMG..hamna jinsia hapo..mwanaume chapa kazi,jijenge,zalisha..thts ryt.. Sio unafata asemayo huyu jamaa afu umejifungia ndani
 
Mtoto wa kiume hupaswi kukimbia majukumu ya familia yako, jumuiya unayoishi, na jamii Kwa ujumla inayokuzingira. Na kamwe mtoto wa kiume afikirii au kutamani kurudi utotoni pindi apatapo shida.
 
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa na mwili laini laini. Piga chuma,kama uwezi shiriki katika michezo.
 
Mtoto wa kiume hutakiwa kunywa soda, castle light...Unatskiwa upige viroba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…