Vitu vichache vinavyoweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani

mm napenda sana kunyoa upara..embu niambie mm ni mtu wa aina gani.?
Upara ule Kama Tako ni UHUNI Kuna best angu mmoja tukiwa sec aliwai kurudishwa nyumbani mpaka nywele ziote
Akaenda kumleta mjomba wake mlezi mzee MTU mzima na baragashia yake akamfata mwalimu amuelekeze shida ya kijana
Mwalimu akasema kijana kanyoa kihuni mzee akatoa baragashia yake akamwambia mwalimu INA MAANA HATA MIMI NILIE NYOA HIVI NI MUHUNI mwalimu akasema hapana (huyu mzee alikua ni diwani)

Basi mzee akamwambia mruhusu kijana aende darasani aendelee na masomo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…