Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

Ebu nambie viungo wa kutia nijaribu last time nione..kuku ni wakienyeji
Wife huwa naona anaweka vitunguu swaumu, tangawizi, kuna maji fulani kama meusi hiv, ndimu,curry powder ya njamo hivi, pilipili mtama, kuna vitu kama chumvi hiv, ainamoto sijui ajinamoto, vingine sivijui, kuna chicken masala sijui paprika ile, anaweka, kisha anaacha kwa karibia lisaa hivi, ndio anampachika huko.

Vitunguu na tangawizi huwa ana saga.
 
Ha ha mimi kwavmanunuzi ndio mwenyewe,sasa huo mkandavwa ngozi inakubidi ununue mashine yake ya kutoboloea matundu,kama upo dar nenda kwenye maduka makubwa ya mikanda wanakiuza hicho kifaa pia,ama kuhusu air frier hicho ni kifaa muhimu sana kwako,kwamba ulimcha kuku kwenye air frier hakuwa mtamu,hapana dosari ipo kwako ni marination ndio hukufanya,ili kuku awe mtamu mfanyie marination.Vifaa ni muhimu sana ni namna ya kuvitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…