Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

.TAARABU INGINE kwenye movie za ni kwamba adui ni lazma awe mgumu sura ngumu au awe na ki group chake cha kufanya mauaji
 
[emoji1787][emoji1787]noma sana

Ingine ambayo hua inanishangaza utakuta mtu anatafutwa na majambazi, labda ni kwenye jengo kubwa au mitaani. Cha ajabu majambazi watapita pale pale alipopita yeye! Yaani hata jengo liwe na milango 100 na konakona kila mahali lazima majambazi watajua tu alipopita.

Au kama huyo anaetafutwa anatoka damu sehemu, basi atapashika kwa mkono halafu anaenda akipakaza damu ukutani, kwenye milango, kwenye ngazi nk ili wanaomtafuta wasipate shida 😀😀
 
Njoo kwenye uwanja wa ANNIMATION.

Ni full rahaaa.

#YNWA
 
kwenye hobbs n shaws watu wanapigana kuanzia usiku hadi asubuhi hadi usiku tena!
 
Jini linaangalia kushoto na kulia ndio linavuka barabara
 
Hii ya mwisho huwa siielewi kabisa

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Na mini nieleze yangu
1) steering kuingia ikulu ya marekani na kufanikiwa mpaka kukutana na raising chumbani kwake Bila ya kuonekana na sari wote wanaolinda white house
2) stering anafanikiwa kuwauwa maadui wenye bastolla waliomvamia wakati alikua amelala
3) tukijaaliw kwa wahindi ni kuimba nyimbo sokoni halafu watu wote wa sokoni wakacheza tena kwa style moja
4) tukijaaliw Napa bongo, mtoto aliyezaliwa anakua mpaka anafika miaka 18 lakini baba au mama Yuki vile vile
 
Eti adui kashafanikisha vizuri kumnyooshea bastola sterling lakini badala ya kumaliza mchezo ataanza maongezi hapo na tambo mpaka sterling akibetue kibastola chake na amuue halafu unakuta ni jambazi katili lenye matukio ya kutisha
🤣🤣🤣🤣 au anatokea mtu kwa nyuma anampiga gongo la kichwa , kama sivyo unaskia mlio wa risasi paaaaaaah! unajua staring amekufa ivo. mara adui anadondoka taratiiibu huku steringi haamini amini kilichotokea , ndipo anapojitokeza mpenzi wake na kabastola mkononi , wanakumbatiana na denda juu, huku maandishi ya movie kuisha yakiwaziba msione kilinachoendelea. yan hawa sijui wanatuonaje?
 
Hii ipo mkuu in real life sema haitokei ovyo na wabongo wengi huiforce..

wakati nitendo linakujaga automaticaly bila wahusika kujielewa mnajikuta tu..
 
Hahahaaa mkuu huwa nashangaaga majambazi wa aina hiyo yaani anaacha kumuua sterling on the spot anaanza kumuongelesha na kujitamba huu ni uongo kabisaa
 
Eti adui kashafanikisha vizuri kumnyooshea bastola sterling lakini badala ya kumaliza mchezo ataanza maongezi hapo na tambo mpaka sterling akibetue kibastola chake na amuue halafu unakuta ni jambazi katili lenye matukio ya kutisha
🤣🤣😂😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…