Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
etoo nae atulieAfrika kivyetu vyetu.
Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa.
Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo.
Akaenda mbali zaidi akatangaza majina yake ya AFCON.
Wakati hayo yakiendelea, Etoo kama Rais wa Shirikisho la Soka huko Cameroon, naye akatangaza kikosi chake cha AFCON chini ya kocha mpya David Pogou.
Kwahyo hali iliyopo kwasasa kuna vikosi viwili tofauti vya AFCON kwa Cameroon.
Eto’o ambaye alicheza vilabu vikubwa enzi zake kama Barcelona amekosa kabisa weledi.
Hiyo ndio Timu ya Taifa ya Cameroon
Hakika ingekuwa hivyo.Huyu Etoo ingekua bongo wizara ya michezo akina Msigwa pamoja na Ccm yao wasingemwacha.. Tungeamka tu asubuhi clip za damu mitandaoni ile design ya akina Mdude na Polepole.
SahihiEtoo ni tafsiri halisi ya Ngozi nyeusi iliyoishi ulaya na aikujifunza chochote kwenye uendeshaji wa mpira
Hakuna tofaiti ya watu ya mwanasiasa na mtu wa mpira kuuongoza mpira
Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogoSijaona huko kukosa weledi kwa etoo. Maana kama kocha amegona kusikiliza maamuzi ya taasis inayoendesha mpira Sasa hapo etoo anakosaje weledi. Na umesema Kuna kocha mpya.
Uki sahihi mkuuCameroon kuna upuuzi mwingi ila Etoo naye ni kama Kalusha Bwalya wa Zambia. Wana exposure kubwa ila kwenye uongozi wa soka ni hovyo.
😂😂Huyu Etoo ingekua bongo wizara ya michezo akina Msigwa pamoja na Ccm yao wasingemwacha.. Tungeamka tu asubuhi clip za damu mitandaoni ile design ya akina Mdude na Polepole.
Yupo kwenye vikosi vyote viwiliTuwekee vikosi vyote hapa.
Kama hostazi Mbeumo hayumo basi vikosi vyote batili.
Mkuu ndo hivyo yaani wizara ya michezo iite kikosi ulete za kuleta akina Samia nadhani unawajua vizuriHakika ingekuwa hivyo.
Weka marking scheme ya uchambuzi ndio upime vzr uwezo wangu, vinginevo utakuwa unapenda kusikia Yale yanayokufurahisha tuu. Na huo ndio ukilaza wenyeweUwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo
Unakumbuka sakata la mechi ya watank wa jadi kuahirishwa kimasihara na mama Samia akawalazimisha waicheze kimasihara?Mkuu ndo hivyo yaani wizara ya michezo iite kikosi ulete za kuleta akina Samia nadhani unawajua vizuri