zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Etoo anafanya mambo kipuuzi kabisa ni aibu kwa hadhi yake kufanya vileEtoo ni tafsiri halisi ya Ngozi nyeusi iliyoishi ulaya na aikujifunza chochote kwenye uendeshaji wa mpira
Hakuna tofaiti ya watu ya mwanasiasa na mtu wa mpira kuuongoza mpira
TabularasaWeka marking scheme ya uchambuzi ndio upime vzr uwezo wangu, vinginevo utakuwa unapenda kusikia Yale yanayokufurahisha tuu. Na huo ndio ukilaza wenyewe
Alivyoingilia kati walicheza kwa lazima, sasa kataa uzikwe.Unakumbuka sakata la mechi ya watank wa jadi kuahirishwa kimasihara na mama Samia akawalazimisha waicheze kimasihara?
Na FIFA isingewaachaHuyu Etoo ingekua bongo wizara ya michezo akina Msigwa pamoja na Ccm yao wasingemwacha.. Tungeamka tu asubuhi clip za damu mitandaoni ile design ya akina Mdude na Polepole.
Wanataka kila kitu kiendeshwe na wao.Alivyoingilia kati walicheza kwa lazima, sasa kataa uzikwe.
profesa kabudi mbona ni msomi ila ni wahovyo sana?Etoo kakosa nn arudizake ulaya kuliko kujifedhehesha shule nimuhimu sana kosa vyote
Kwanini iwe Afrika tu?! kila baya na la maajabu Afrika, utawala mbovu Afrika, siasa mbovu Afrika, majanga ya njaa Afrika, wasomi makanjanja Afrika, Etoo angeyamaliza haya kwa kukaa pembeni abakie na heshima yake na kujikita kwenye kuzalisha wakina Etoo wa baadae.Cameroon kuna ugomvi wa ki mamlaka ya mpira baina ya wizara ya michezo na Shirikisho la mpira
Yani kwa Tz kuwe na mgongano kati ya wizara ya michezo na TFF ndio kinacho endelea Cameroon
Mkuu, nilisahau kusoma sio kuelevukaprofesa kabudi mbona ni msomi ila ni wahovyo sana?
Majukumu ya kuita wachezaji timu ya taifa ni ya nani?Sijaona huko kukosa weledi kwa etoo. Maana kama kocha amegona kusikiliza maamuzi ya taasis inayoendesha mpira Sasa hapo etoo anakosaje weledi. Na umesema Kuna kocha mpya.
Afrika ina laanaKwanini iwe Afrika tu?! kila baya na la maajabu Afrika, utawala mbovu Afrika, siasa mbovu Afrika, majanga ya njaa Afrika, wasomi makanjanja Afrika, Etoo angeyamaliza haya kwa kukaa pembeni abakie na heshima yake na kujikita kwenye kuzalisha wakina Etoo wa baadae.
Na hatuji wapi tuliiokota hiyo laana jamani kaaaaa!!??Afrika ina laana
Watank ndio nini mkuuUnakumbuka sakata la mechi ya watank wa jadi kuahirishwa kimasihara na mama Samia akawalazimisha waicheze kimasihara?
Wao ni kumwaga damu tuMkuu ndo hivyo yaani wizara ya michezo iite kikosi ulete za kuleta akina Samia nadhani unawajua vizuri